Fact.Mungu anakuepusha na mabarahaaa
Kuhusu kwenu kukufikiria vibaya
15-25 huu umri unakuwa na wasiwasi sanaa watu wanavokuchukulia
26-45 huu umri unakuwa hujali watu wanachuliaje
46 na zaidi utakuja ugundue hakuna hata mtu aliyekuwa anakufikilia
Mind your own business
Atakuwa member nambaUtakua member wa chaputa wewe
Ulijiunga rasmi CHAPUTA mwaka gani?Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae Tena.
Na siku tukipanga appointment aje geto kabla ya kufika naghairi asije namwambia nimepata dhalula wakuu itakuwa tatizo Nini au Hali ya kawaida tu au nimerogwa inafika hatua mpaka nyumbani Wana wasiwasi na Mimi hawajawahi kuniona na mwanamke
Naomba kuwasilisha[emoji119][emoji119]
π€£π€£π€£ wewe jamaa banaππ
Sasa leo ndo nmeelewa we mzee wa kupambania nn..nilkuaga najiulza sana
π€£π€£π€£ wewe jamaa banaππ
Sasa leo ndo nmeelewa we mzee wa kupambania nn..nilkuaga najiulza sana