Sina hamu na Mapenzi

Sina hamu na Mapenzi

Mungu anakuepusha na mabarahaaa

Kuhusu kwenu kukufikiria vibaya

15-25 huu umri unakuwa na wasiwasi sanaa watu wanavokuchukulia

26-45 huu umri unakuwa hujali watu wanachuliaje

46 na zaidi utakuja ugundue hakuna hata mtu aliyekuwa anakufikilia

Mind your own business
Fact.
 
Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae Tena.

Na siku tukipanga appointment aje geto kabla ya kufika naghairi asije namwambia nimepata dhalula wakuu itakuwa tatizo Nini au Hali ya kawaida tu au nimerogwa inafika hatua mpaka nyumbani Wana wasiwasi na Mimi hawajawahi kuniona na mwanamke

Naomba kuwasilisha[emoji119][emoji119]
Ulijiunga rasmi CHAPUTA mwaka gani?
Achana na mademu piga nyeto tu!
 
Vamio la jini mahaba mkuu likikupenda litakufanya uone wanawake wote wabaya Ili uwe lake tu.
 
Back
Top Bottom