Sina hamu na Mapenzi

Sina hamu na Mapenzi

Pia utakua na tatizo la kukawia kutoka bafuni ukiingia kuoga na ukitoka sabuni imeisha si ndio mkuu
 
Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae Tena na siku tukipanga appointment aje geto kabla ya kufika naghairisha asije namwambia nimepata dhalula wakuu itakuwa tatizo Nini au Hali ya kawaida tu au nimerogwa inafika hatua mpaka nyumbani Wana wasiwasi na Mimi hawajawahi kuniona na mwanamke

Naomba kuwasilisha🙌🙌

Kikawaida Hali hiyo ikinitokea Mimi ujue Hali yangu dhoofu Hali,
Aidha sina nguvu za kutosha kumridhisha huyo Binti ndio maana naogopa aibu.
Pili, Uchumi wangu haupo vizuri.
Nikipiga hesabu ya kugharamia tukio hili Naona itakatika Tsh 50k alafu wiki nzima nimepiga pasi ndefu.
Hapo lazima nichimbe
 
Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae Tena.

Na siku tukipanga appointment aje geto kabla ya kufika naghairi asije namwambia nimepata dhalula wakuu itakuwa tatizo Nini au Hali ya kawaida tu au nimerogwa inafika hatua mpaka nyumbani Wana wasiwasi na Mimi hawajawahi kuniona na mwanamke

Naomba kuwasilisha[emoji119][emoji119]
Oshey mr [emoji383]
 
Mungu anakuepusha na mabarahaaa

Kuhusu kwenu kukufikiria vibaya

15-25 huu umri unakuwa na wasiwasi sanaa watu wanavokuchukulia

26-45 huu umri unakuwa hujali watu wanachuliaje

46 na zaidi utakuja ugundue hakuna hata mtu aliyekuwa anakufikilia

Mind your own business
 
huwa unapiga nyeto?

Yaweza kuwa hujiamini kwenye tendo. Unawasiwasi labda nawe umeathirika na nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom