Sina hamu na wadada wa kizungu


Mkuu hata gari hutaki ?
 

Ukivaa nguo zake mitaani Makonda atakukamata kama James Delicious
 
"kampuni moja ya kimataifa" [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nikusaidie wazo jamaa yangu. Hawa wenzetu wako tofauti na sisi. Hicho ni kipimo kidogo tu kwako. Kama anakupenda kwa dhati,hivi anafanya mpango wa kimya kimya juu yako,hawezi kukuacha juu kwa juu kihivyo,niamini,ana mpango mzuri tu juu yako. Usiache kuwasiriana naye. Usichukulie hasira. Umemwambia vizuri kwamba ulimpenda yeye si vitu vyake. Hizo nguo chukua,zitunze hata mwaka tu,baada ya hapo,wagawie ndugu kama wapo,zinazowatosha,zingine zipeleke vituo vya watoto yatima. Mwambie nae unazipeleka kwa watoto yatima. Usionyeshe chuki kubwa dhidi yake. Vitu vingine vichukue tu endelea kuvitumia. Ila tu angalizo usikae ukabweteka bila kuendeleza mishe zako zingine. Yafanye maisha yako kama kawaida
 
Shukrani
 
acha umama arifu aisee we ni gani charii angu? Beba mazaga muhimu aliyokuachia hizo nguo zigawe hata kwa ndugu zako au peleka vituo vya wajane na yatima pia ikiwezekana mtokee father house mwambie akupe chenji ya kodi kama alilipia mwaka mzima na mkataba haukubana. Maisha yanaendelea akitokea mtishu mwingine nenda naye sawa ila kaa naye kimachale acha mambo za Romeo n Juliet mapromise kibaao kumbe mnachorana tu
 
Sawa. Mkuu
 
Ulikuwa humkuni vizuri mkuu lazima angeondoka na wewe,yaani huo uhamisho alivyoupata alishukuru sana kuwa mbali na wewe.
 
safi uliwakilisha taifa vizuri, chukua vifaa....
 
Yeye alikuwa anakutumia tu wakati yupo bongo shukuru walau amekuachia mtaji. Ukapime na ukimwi tu pengine hizo ndo zake, huko Ureno tayari keshapata jamaa mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…