Sina hamu na wadada wa kizungu

Huyu alinipenda kweli sema kampuni ikampa uhamisho
 
Peleka uongo huko,mzungu akipenda anapenda ,na angefanya juu chini angeondoka na ww.ebu nenda kule ukawaambie uongo hapa.au kwa kuwa ulimnunua mzungu pale masaki ,unakuja na stori kibao humu.wanaume wa dar bure kabisa
Rubbish hujawai kupenda/kupendwa na EuropΓ©en so funga kopo lako
 
Ha ha ha

Hao chawa tutawaua kwa sabuni na pasi.

Gari huyu hawezi kutoa, nguo kwakuwa ni za kike halafu kasema zinajaa Lori sasa akigawa japo kidogo kwa Kila atakaye zitatosha.
Mnachekesha nyinyi
 
Acha ushamba ww,ulifunga nae ndoa mpaka uumie ivyo, ndoa ni kifungo,yan kama hakuna talaka inamaana huezi pa tena... furahia sababu umeachiwa vitu vya kuanza maisha na mke wako mpya
Sawa ndugu
 
Nywele wanawake wote wanazo, tena bora ule za mzungu zinaoshwa kila siku, sio hizi za kina Asha tingisha au Mwajuma tentemete kuoshwa mara moja kila baada ya miezi mitatu.
Usiwadharau sana akina Mwajuma na Asha wanaooga mara tatu kwa siku ukafikiri na ngozi nyeupe wako hivyo. Ngozi nyeupe hilo hawajali, anaweza akataka mambo usiku wakati hajaoga tangu alipooga asubuhi.
 
Penzi kaondoka nalo
Lakini umeachiwa mtaji wa mtumba lori moja na gari ya kutembelea wataka nn tena
 
...ulichokosea wewe kama mwanaume ni kutoacha japo ' chata', ungemsababishia katoto tu pengine asingekuachia hayo majinguo.
 
Hongera kwa kazi nzuri kuhongwa mpaka gari, hakika umetuzidi mpaka dada zako, kama ameacha na hela nitumie na mimi.

Dohhhhhh!!!!!!!!!! jamii forum bhanaa inavituko sanaaaaaaa.
 
kuna mtu unalenga kumpata humu na huenda ukafanikiwaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…