RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
- Thread starter
- #241
Siwezi kuzungumzia hiloNasikia papuchi za kizungu za baridi, VIP ya huyo ilikuwa ya moto mpaka imekudatisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuzungumzia hiloNasikia papuchi za kizungu za baridi, VIP ya huyo ilikuwa ya moto mpaka imekudatisha?
Huyu alinipenda kweli sema kampuni ikampa uhamishoHawa wageni wanaokuja kufanya kazi nchini kwetu kwa mikataba asilimia kubwa ni majanga,wanaanzisha mahusiano na mtu ghafla anakuacha solemba hasa kwa sisi wanawake ndio tunapata madhara makubwa anakutia mimba kunauwezekano akakukimbia akakuachia mzigo wake au ukafanikiwa ukajifungua siku si siku anasema anakuachia jukumu la mtoto pekee ako,kuna wanawake wapo wamezalishwa na wachina,wahindi nk wanalea pekee yao hata haelewa pakumtafutia baba mtoto,ww shukuru kuzaliwa mwanaume angekuachia mimba au mtoto ulee pekee ako,ila sijui kwann hawa watu wanakuwa wanamapenzi ya kweli na ya dhati sanaaa
WoteKwa hiyo ulimpenda kwa moyo wako wote?
Rubbish hujawai kupenda/kupendwa na Européen so funga kopo lakoPeleka uongo huko,mzungu akipenda anapenda ,na angefanya juu chini angeondoka na ww.ebu nenda kule ukawaambie uongo hapa.au kwa kuwa ulimnunua mzungu pale masaki ,unakuja na stori kibao humu.wanaume wa dar bure kabisa
Kaa kimya hunijui sikujui sasa utaniukumu vipiila we jamaa muongo kiwango cha flyover..!!!!
Mnachekesha nyinyiHa ha ha
Hao chawa tutawaua kwa sabuni na pasi.
Gari huyu hawezi kutoa, nguo kwakuwa ni za kike halafu kasema zinajaa Lori sasa akigawa japo kidogo kwa Kila atakaye zitatosha.
Unachekesha weweMi nitamfata ofisini kwake anipe japo visuruali kadhaa
Sawa nduguAcha ushamba ww,ulifunga nae ndoa mpaka uumie ivyo, ndoa ni kifungo,yan kama hakuna talaka inamaana huezi pa tena... furahia sababu umeachiwa vitu vya kuanza maisha na mke wako mpya
Usiwadharau sana akina Mwajuma na Asha wanaooga mara tatu kwa siku ukafikiri na ngozi nyeupe wako hivyo. Ngozi nyeupe hilo hawajali, anaweza akataka mambo usiku wakati hajaoga tangu alipooga asubuhi.Nywele wanawake wote wanazo, tena bora ule za mzungu zinaoshwa kila siku, sio hizi za kina Asha tingisha au Mwajuma tentemete kuoshwa mara moja kila baada ya miezi mitatu.
Sawa...ulichokosea wewe kama mwanaume ni kutoacha japo ' chata', ungemsababishia katoto tu pengine asingekuachia hayo majinguo.
yaan hata wewe mwenyewe soma utajiambia kuwa ni muongo..!!!Kaa kimya hunijui sikujui sasa utaniukumu vipi
nipe tu contact zao nitawalaWapo ila wanawatu wao
Dada sijapenda comment yako
Hongera kwa kazi nzuri kuhongwa mpaka gari, hakika umetuzidi mpaka dada zako, kama ameacha na hela nitumie na mimi.