Sina hamu na wadada wa kizungu

Sina hamu na wadada wa kizungu

Hawa wageni wanaokuja kufanya kazi nchini kwetu kwa mikataba asilimia kubwa ni majanga,wanaanzisha mahusiano na mtu ghafla anakuacha solemba hasa kwa sisi wanawake ndio tunapata madhara makubwa anakutia mimba kunauwezekano akakukimbia akakuachia mzigo wake au ukafanikiwa ukajifungua siku si siku anasema anakuachia jukumu la mtoto pekee ako,kuna wanawake wapo wamezalishwa na wachina,wahindi nk wanalea pekee yao hata haelewa pakumtafutia baba mtoto,ww shukuru kuzaliwa mwanaume angekuachia mimba au mtoto ulee pekee ako,ila sijui kwann hawa watu wanakuwa wanamapenzi ya kweli na ya dhati sanaaa
Huyu alinipenda kweli sema kampuni ikampa uhamisho
 
Peleka uongo huko,mzungu akipenda anapenda ,na angefanya juu chini angeondoka na ww.ebu nenda kule ukawaambie uongo hapa.au kwa kuwa ulimnunua mzungu pale masaki ,unakuja na stori kibao humu.wanaume wa dar bure kabisa
Rubbish hujawai kupenda/kupendwa na Européen so funga kopo lako
 
Ha ha ha

Hao chawa tutawaua kwa sabuni na pasi.

Gari huyu hawezi kutoa, nguo kwakuwa ni za kike halafu kasema zinajaa Lori sasa akigawa japo kidogo kwa Kila atakaye zitatosha.
Mnachekesha nyinyi
 
Acha ushamba ww,ulifunga nae ndoa mpaka uumie ivyo, ndoa ni kifungo,yan kama hakuna talaka inamaana huezi pa tena... furahia sababu umeachiwa vitu vya kuanza maisha na mke wako mpya
Sawa ndugu
 
Nywele wanawake wote wanazo, tena bora ule za mzungu zinaoshwa kila siku, sio hizi za kina Asha tingisha au Mwajuma tentemete kuoshwa mara moja kila baada ya miezi mitatu.
Usiwadharau sana akina Mwajuma na Asha wanaooga mara tatu kwa siku ukafikiri na ngozi nyeupe wako hivyo. Ngozi nyeupe hilo hawajali, anaweza akataka mambo usiku wakati hajaoga tangu alipooga asubuhi.
 
Penzi kaondoka nalo
Lakini umeachiwa mtaji wa mtumba lori moja na gari ya kutembelea wataka nn tena
 
...ulichokosea wewe kama mwanaume ni kutoacha japo ' chata', ungemsababishia katoto tu pengine asingekuachia hayo majinguo.
 
Hongera kwa kazi nzuri kuhongwa mpaka gari, hakika umetuzidi mpaka dada zako, kama ameacha na hela nitumie na mimi.

Dohhhhhh!!!!!!!!!! jamii forum bhanaa inavituko sanaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom