SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,181
- 1,714
Ushawahi kuwapa watu wangapi gari?Siuzi gari kuna mtu ntampa
Hasante kwa ushauriMtimbie huko huko Ureno kama vipi mkuu, mwambie akutumie invitation letter itakusaidia kupata visa.
Halafu fanya upate nae mtoto, atawafanya msikimbiane kimbiane.
Naona Its like she didn't love you, she just needed some company and you were the best option, asingekuacha kiurahisi hivyo. Haya mambo bora uwe mguu ndani mguu nje yasikuumize meli ikizama.
Sijawai hii ndo mara ya kwanzaUshawahi kuwapa watu wangapi gari?
Wewe una magari mangapi 10?Sijawai hii ndo mara ya kwanza
Yeye kaendaje mkuu? Kwani amekwambia mahusiano yenu yaishe? Acha masihara mkuu, hujui namna ya kwenda nje then unafanya kazi internationally???Duu ureno ntaendaje
Sijui Kama naweza pata rehusa kazini maana muda mwingi ni jobsYeye kaendaje mkuu? Kwani amekwambia mahusiano yenu yaishe? Acha masihara mkuu, hujui namna ya kwenda nje then unafanya kazi internationally???
Gari moja tuWewe una magari mangapi 10?
Karibu
Kwakua taasisi yenu ni international na unasema umempenda na hamkufikia break up omba wakuhamishie hukohuko mkuu usijekutufia hapa kwa stress.Sijui Kama naweza pata rehusa kazini maana muda mwingi ni jobs
Haina shida mkuu but you are lucky oneSijaongwa bwana nimeachiwa tu
Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
kuna mitoto mingi sanaJF bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulipaswa useme mdada wa kizungu,siyo wadada. Sasa ulishindwa kumfanyia Jaza ujazwe mapema?!Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.