Sina hamu na wadada wa kizungu

Sina hamu na wadada wa kizungu

Mtimbie huko huko Ureno kama vipi mkuu, mwambie akutumie invitation letter itakusaidia kupata visa.

Halafu fanya upate nae mtoto, atawafanya msikimbiane kimbiane.

Naona Its like she didn't love you, she just needed some company and you were the best option, asingekuacha kiurahisi hivyo. Haya mambo bora uwe mguu ndani mguu nje yasikuumize meli ikizama.
 
Hasante kwa ushauri
 
Yeye kaendaje mkuu? Kwani amekwambia mahusiano yenu yaishe? Acha masihara mkuu, hujui namna ya kwenda nje then unafanya kazi internationally???
Sijui Kama naweza pata rehusa kazini maana muda mwingi ni jobs
 
Umaskini bana'et nguo unajaza lori'.haya vaa hizo nguo.
Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.

Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.

Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.

Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.

Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.

NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
 
Uzuri wa JF hakunaga masikini
Wote wamejaaliwa
Wote wasomi
Wote wadada warembo
Wote mahandsome
Huyu nae hataki gari wala mazagazaga full ya kusukumia maisha ye anapenda penzi la Mudhungu!
We Mudhungu wewe MUNGU anakuona!!!
Nna uhakika Pm yako itakuwa bize sana mkuu maadam ushatangaza unafanya kazi shirika la kimataifa
na una usafiri na nguo kibao za kike za kujaza lori!
Kazi kwako na utuletee mrejesho!
 
Ila jaman haya makitu ni ya kuya practice kila wakati.Kidogo nianze kuona ni kitu cha Kawaida papuchi wakati imejishikiza kwn chura huyoooooo!daaah!
 
Wewe nazani ulikuwa umependa papuchi ya bule, si una jua dada zetu kuwamiliki ni ghalama kama unajali. Maumivu yote unayopata unawaza kurudi kwenye papuchi ya kughalamia.

Amekabia hakupendi tena. Na je alikotoka alikuwa hana bwana?

Kama vipi weka bajeti fuata mzigo huko huko aliko.
 
Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.

Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.

Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.

Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.

Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.

NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Ulipaswa useme mdada wa kizungu,siyo wadada. Sasa ulishindwa kumfanyia Jaza ujazwe mapema?!
 
Back
Top Bottom