Sina hamu na wadada wa kizungu

Sasa gari utatransfer vipi ownership bila yy kuwepo...nahis chai haijakolea sukari
 
Ukisoma commet za Huku ndio utajua kua wabongo tuna njaa kiasi gani
 


Pole, nipe anuani yako nikuletee chloroquine 30 umeze kisha uniachie hivyo vitu, wewe sepa mbinguni ukamsubiri huyo msichana.
 
Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Hahaha asee watu wa jamii Forum mnachekesha sana. Sasa nguo za kike atavaaje mwanaume mkuu?
 
Ndio nini sasa😂😂😂😂😂😂😂mfuate huko kwa vasco da gama kama unampenda sana...mfyuuuuuu!!!
 
Kama hauvipendi mwachie baba mwenye nyumba mkuu
 
Unayowaza ni tofauti kabisa
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…