Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa gari utatransfer vipi ownership bila yy kuwepo...nahis chai haijakolea sukari
Mzungu kaacha hadi Laptop mkuu,tunaelekea vizuri kwenye mapinduzi ya viwanda na uchumi wa KATI.Chai hii haina hata Sukarii mkuu
Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Hahaha asee watu wa jamii Forum mnachekesha sana. Sasa nguo za kike atavaaje mwanaume mkuu?Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Kwenye nguo zake avae hapo ndio patamuSasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
bwahahaaYeye kaendaje mkuu? Kwani amekwambia mahusiano yenu yaishe? Acha masihara mkuu, hujui namna ya kwenda nje then unafanya kazi internationally???
Sitaki nguo zake
Any timeNije lini kuchukua
Sawa mkuuKwakua taasisi yenu ni international na unasema umempenda na hamkufikia break up omba wakuhamishie hukohuko mkuu usijekutufia hapa kwa stress.
Haaabas unazari... na gari
OK tajiriUmaskini bana'et nguo unajaza lori'.haya vaa hizo nguo.
Unayowaza ni tofauti kabisaUzuri wa JF hakunaga masikini
Wote wamejaaliwa
Wote wasomi
Wote wadada warembo
Wote mahandsome
Huyu nae hataki gari wala mazagazaga full ya kusukumia maisha ye anapenda penzi la Mudhungu!
We Mudhungu wewe MUNGU anakuona!!!
Nna uhakika Pm yako itakuwa bize sana mkuu maadam ushatangaza unafanya kazi shirika la kimataifa
na una usafiri na nguo kibao za kike za kujaza lori!
Kazi kwako na utuletee mrejesho!
Sawa mkuuWewe nazani ulikuwa umependa papuchi ya bule, si una jua dada zetu kuwamiliki ni ghalama kama unajali. Maumivu yote unayopata unawaza kurudi kwenye papuchi ya kughalamia.
Amekabia hakupendi tena. Na je alikotoka alikuwa hana bwana?
Kama vipi weka bajeti fuata mzigo huko huko aliko.
HasantePole!!