Sina hamu na wadada wa kizungu

Uandishi umenichanganya kidogo ni kama unatoa onyo at the same time unatutaarifu mahusiano uliyopitia na Hali uliyo nayo hivi sasa,madem watajazana hatar ili uwape hizo chupi
 
ulimlagaa mkuu au hukufanikiwaa..
 
Kampuni ni international siyo? Hii inamaana hata wafanyakazi, ukiwemo wewe hapo, ni international. Kama vipi omba uhamishiwe huko huko Lisbon, Ureno ukaendelee naye.
 
Mkuu mimi niuzie gari yake tu!
Hizo nguo nakushauri umpelekee huko ureno!

Lakini hiyo gari naitaka kwa bei poa Mzee,maana itakuwa inakukumbusha machungu sana,niuzie tu ndiyo dawa nzuri ya kupunguza maumivu!
 
Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Anapenda Madela, nguo za kizungu hawezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hayo ndo malalamiko nadhani
 
Uza nguo zake na huo mkokoteni upate nauli umfate,ureno sio mbali kivile
 
Uandishi umenichanganya kidogo ni kama unatoa onyo at the same time unatutaarifu mahusiano uliyopitia na Hali uliyo nayo hivi sasa,madem watajazana hatar ili uwape hizo chupi
Hamna bwana
 
Mkuu mimi niuzie gari yake tu!
Hizo nguo nakushauri umpelekee huko ureno!

Lakini hiyo gari naitaka kwa bei poa Mzee,maana itakuwa inakukumbusha machungu sana,niuzie tu ndiyo dawa nzuri ya kupunguza maumivu!
Njoo Pm ila jua kuwa uwe na m35+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…