Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
DaaaahAlihaidi kukuoa na kukupa maisha mazuri nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaaaahAlihaidi kukuoa na kukupa maisha mazuri nini?
Hadithi za abunuasi, kalimakenge kakataa kwenda shuleAlfu lela u lela.....Esopo......
Zilikuwa zinazagaaPole sana mkuu. Ila mwana kinachoniboa madem wa kizungu ni nywele aisee. Yani mkikaa geto nywele kwenye sinki, kapeti, mdomoni , kitandani dah. Umenikumbusha mbali sana chief.
😂😂😂😂😂😆😆😆 JF BwanaBraza kama una mpango wa kuzitupa au huna kazi nazo Naomba nije kuchukua hizo nguo za mzungu nimpatie mke wangu
ulimlagaa mkuu au hukufanikiwaa..Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Kama unataka naweza kukutumia pm
Apia mkuu...km vp nitumie hizo nguo aseeh Nipige biashara hapa na ndio nitokee hapo....Sitaki nguo zake
Kampuni ni international siyo? Hii inamaana hata wafanyakazi, ukiwemo wewe hapo, ni international. Kama vipi omba uhamishiwe huko huko Lisbon, Ureno ukaendelee naye.Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Mkuu mimi niuzie gari yake tu!Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Anapenda Madela, nguo za kizungu hawezi 😂😂😂😂, hayo ndo malalamiko nadhaniSasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Hamna bwanaUandishi umenichanganya kidogo ni kama unatoa onyo at the same time unatutaarifu mahusiano uliyopitia na Hali uliyo nayo hivi sasa,madem watajazana hatar ili uwape hizo chupi
Nilimla sanaulimlagaa mkuu au hukufanikiwaa..
Ntalifanyia kaziKampuni ni international siyo? Hii inamaana hata wafanyakazi, ukiwemo wewe hapo, ni international. Kama vipi omba uhamishiwe huko huko Lisbon, Ureno ukaendelee naye.
Haaaa ila hili gari ni kaliUza nguo zake na huo mkokoteni upate nauli umfate,ureno sio mbali kivile
OK kijanaAnapenda Madela, nguo za kizungu hawezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hayo ndo malalamiko nadhani
Njoo Pm ila jua kuwa uwe na m35+Mkuu mimi niuzie gari yake tu!
Hizo nguo nakushauri umpelekee huko ureno!
Lakini hiyo gari naitaka kwa bei poa Mzee,maana itakuwa inakukumbusha machungu sana,niuzie tu ndiyo dawa nzuri ya kupunguza maumivu!