Sina hamu na wadada wa kizungu

Sina hamu na wadada wa kizungu

Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.

Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.

Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.

Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.

Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.

NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.

Juhudi za kumdunga mimba ziligonga mwamba?? 🤣🤣🤣🤣

Hao watu wanafundishwa kuji handle mapema sana, wako very technique kwenye mapenzi si wakukurupuka nao hovyo hovyo!!

Hapo ye alikuwa anaccount kama anafanya sex tourism na si vinginevyo!! Kabwela ukajua ushapata mke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Pole sana
 
kwani hukujua kuwa ataondoka nchini siku moja? unaweza kumfata pia
Huku kwetu kuna msemo ni heri kulia kwenye range kuliko kwenye baiskeli, jifute machozi washa mkoko ulioachiwa nenda ukabarizi upepo beach bwana.
huyu Rukuku boy hana hata leseni 😀😀😀😀
 
Duh unabahat wewe jamaa unahongwa na mboga ya kizungu
 
Duh unabahat wewe jamaa unahongwa na mboga ya kizungu
 
Sipati picha utakapopiga hizo min skirt za kizungu[emoji23][emoji23][emoji23] kama dalili za kumuenzi. Ila tu usiwaze, mapenzi hayana umbali, utamfuata huko huko na maisha yataendelea
Duu ureno ntaendaje
 
Juhudi za kumdunga mimba ziligonga mwamba?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hao watu wanafundishwa kuji handle mapema sana, wako very technique kwenye mapenzi si wakukurupuka nao hovyo hovyo!!

Hapo ye alikuwa anaccount kama anafanya sex tourism na si vinginevyo!! Kabwela ukajua ushapata mke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pole sana
Hasante ndugu
 
Back
Top Bottom