Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nipe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe
Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
🙂🙂Sawa mkuu tumeshakuelewa " vizuri tu .. kuwa mzungu amekuachia gari na vitu kibao vya thamani'...
tunakuomba upitie pale mikocheni kwenye office za JF ulipie tangazo "..
Nipe mimi hizo nguo mkuuSitaki nguo zake
huyu Rukuku boy hana hata leseni 😀😀😀😀kwani hukujua kuwa ataondoka nchini siku moja? unaweza kumfata pia
Huku kwetu kuna msemo ni heri kulia kwenye range kuliko kwenye baiskeli, jifute machozi washa mkoko ulioachiwa nenda ukabarizi upepo beach bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Braza kama una mpango wa kuzitupa au huna kazi nazo Naomba nije kuchukua hizo nguo za mzungu nimpatie mke wangu
Itakua alitaka aachiwe na makalio ya kizungu yaliyopigwa pasiSasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
JF raha sana.JF bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Duu ureno ntaendajeSipati picha utakapopiga hizo min skirt za kizungu[emoji23][emoji23][emoji23] kama dalili za kumuenzi. Ila tu usiwaze, mapenzi hayana umbali, utamfuata huko huko na maisha yataendelea
KaribuNaomba nguo kidogo
Sijaongwa bwana nimeachiwa tuDuh unabahat wewe jamaa unahongwa na mboga ya kizungu
KaribuNipe mimi hizo nguo mkuu
Hasante nduguJuhudi za kumdunga mimba ziligonga mwamba?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao watu wanafundishwa kuji handle mapema sana, wako very technique kwenye mapenzi si wakukurupuka nao hovyo hovyo!!
Hapo ye alikuwa anaccount kama anafanya sex tourism na si vinginevyo!! Kabwela ukajua ushapata mke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana
KaribuNigawie hayo mavitu