single father
Member
- Oct 22, 2019
- 77
- 117
Hakumpenda tu huyo mkuuJipeni mapumziko ya mda, kila mtu afanye yake....
Kwa mda mtakao pendelea.
Ukiona hata humkumbuki unapokuwa mbali naye....basi unaweza kusitisha zoezi zima la ndoa.
Yawezekana ni kipindi cha mapito....hutokea kwenye mahusiano (kukinai mwenza bila sababu)
Nikuulize swali ?Jipeni mapumziko ya mda, kila mtu afanye yake..
Uliza....Nikuulize swali ?
Amwache...atafute ampendae...Hakumpenda tu huyo mkuu
Nikweli ww upo kwenye ndoa huu mwaka wa ngapi?Amwache...atafute ampendae...