Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Akili zimekurudia, umegundua ndoa ni zaidi ya kufinyiwa ndani??
Una mwanamke desperate sana, mtii, kila kitu YES, usioe usiyempenda, utamtesa, ni dhambi. Kile kiapo kizito!

Things moved too fast. Kichwa kikubwa kilipelekeshwa na kichwa kidogo.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Miaka miwili ulimpenda ila baada ya mipango ya ndoa ndio humpendi!

Inaonekana mwanzo ulimpenda coz hukua na nia nae,nia yako ilikua umchezee tu na umuache,

Sasa baada ya kuona kua utammiliki kama Mke ndio una mkinai na kuona hakufai!

Kama utaamua kumuacha basi usifikiri jambo hilo litapita bure bure,Mungu hua ana makusudi yake pia,umempotezea mtoto wa watu muda ambao huwezi kuurudisha nyuma,

Sikulazimishi kumuoa ila haiingii akilini eti miaka 2 uliyokua nae mbona hukumchukia?
 
Za jioni wakuu
Bila kupoteza muda kama kijana nilipata dem tukaenda sawa na process zote za Ndoa ziko Tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa Hivi naona hanivutii kabisa kila Siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu
Naweza nisipende tu alivyo vaa nikachukia Siku mzima,
Akinisemesha najibu mbovu tu,kuna muda nahisi nimekosea kumchagua japo sioni udhaifu mkubwa wakutisha kwani nimehack sim yake sioni SMS mbovu wala maongezi mabaya ila ni hali tu imekuja ghafla tena mbaya zaidi baada ya kujitambulisha kwao
NB mahusiano yana almost 2yrs
Uchawi ipooooo mzee.
 
Achana nae kabla ya kufunga ndoa. Usije ukaua baadae. Maana hutaweza kumridhisha kama hakuvutii hivyo ukimuoa ataanza kukudharau kwa sababu humridhishi.

Baada ya dharau atachepuka utashikwa na hasira utatenda jambo ambalo hutarajii kutenda.

Achana nae usiridhishe jamii eti watakuonaje.
 
Za jioni wakuu
Bila kupoteza muda kama kijana nilipata dem tukaenda sawa na process zote za Ndoa ziko Tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa Hivi naona hanivutii kabisa kila Siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu
Naweza nisipende tu alivyo vaa nikachukia Siku mzima,
Akinisemesha najibu mbovu tu,kuna muda nahisi nimekosea kumchagua japo sioni udhaifu mkubwa wakutisha kwani nimehack sim yake sioni SMS mbovu wala maongezi mabaya ila ni hali tu imekuja ghafla tena mbaya zaidi baada ya kujitambulisha kwao
NB mahusiano yana almost 2yrs
Wewe kijana ni mpumbavu sana, ukiendelea na ujinga huu utakuja kuolewa wewe. Kwanini mnapenda kuwaumiza watoto wa wenzenu kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom