Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Ni shetani tu ameshambulia ufahamu wako na hii inasababishwa na roho ya kukataliwa iko kwa huyu Dada
 
Hiyo hali ni ya kawaida sana,kama unataka kupima unampenda mpe hata wiki msitafutane wala kuonana ukiona unahisi kuchanganyikiwa basi mrudie kwa speed maana unampenda.

Nina baby mama mmoja huwa nikimchoka nikichepuka sioni mwanamke kama yeye katika michepuko yangu yote minne hivyo narudisha majeshi kwa nguvu kwa baby mama wangu no one like her.I appreciate that!
 
Mkuu mi ninatatizo kama lako ukipata jibu nijulishe nijue nifanyaje mi niko nae mwaka wa tatu sasa
 
Single fathers mna matatizo sana😀, ila mi nahisi umerogwa...tena na mama mtoto, hataki uoe.
Miaka miwili mtu anapata papuchi freely kila anapojisikia (maelezo ya mtoa mada ni kama vile tayari wanaishi "sogea tuishi").
Mwanaume anaanza kujiuliza kwani kuna kipya kipi kwenye ndoa? papuchi napata kila nikijisikia, na huduma zote napata. Vitu vidogo vidogo vinaanza kuwa kero, maana hakuna maajabu tena.
Mvuto utoke wapi?
 
Miaka miwili mtu anapata papuchi freely kila anapojisikia (maelezo ya mtoa mada ni kama vile tayari wanaishi "sogea tuishi")..
Wala hiyo sio sababu, watu wanapata papuchi kabla ya ndoa na wanaendelea na wanakuja kuoa vizuri tu. Sidhani ka ndoa ni papuchi peke yake...ingekuwa hivyo Basi watu wasingeoa ama kuolewa maana papuchi na mb.oo zinapatikana freely anytime, unachagua aina yoyote utakayo.

Jamaa ana matatizo yake mengine
 
Wala hiyo sio sababu, watu wanapata papuchi kabla ya ndoa na wanaendelea na wanakuja kuoa vizuri tu. Sidhani ka ndoa ni papuchi peke yake...ingekuwa hivyo Basi watu wasingeoa ama kuolewa maana papuchi na mb.oo zinapatikana freely anytime, unachagua aina yoyote utakayo.
Jamaa ana matatizo yake mengine
Hahahahaha...!! I see your point also.
Basi labda mtoa mada kavurugwa.
 
Za jioni wakuu,

Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu..
Utakuwa umeonja kwingine
 
Za jioni wakuu,

Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu....
Bila kupoteza Muda ngoja nikupe jibu kuna sababu za kisaikolohia na sababu za ki roho, Naaza na za kisaikolojia. Huenda baada ya kufanya process zote za ndoa na unajuabhuyo ndiye unayekuja kuishi nae umeanza kumlinganisha yeye na vi dada vingine kwenye mitandao huko fb, insta nk, au ukaanza kupimishia wadada wa sehemu unapofanya kazi, majirani zako au sehemu za vituo vya daladala town Trust me huku mjini hasa Dsm kuna sehemu unaeza enda ukaona kila mdada unaekutana nae ni mrembo hadi huyo wako unahisi ilikuaje ukanasa kwake hasa huko Posta, Mwenge na Kkoo.

Ila tu hawa kimsingi sio kweli kwamba ni wazuri kuliko wakwako ila tu ni ile hali ya huwajui ki undani na ndio mara ya kwanza unawaona na unawaona wakiwa wamekwosha jipigilia vitu vyao vya mitoko tofauti na wa kwako kwanza umemzoea afu hata yeye wakati mwingine wakati akitaka kukuona hajiandai saaana maana anachukulia kawaida haji kwaajili ya kukuvuta.

Nikupe mfano mdogo kwa wale watu ambao day 1 wameambiwa na ki binti kinakuja gheto kwao huwa wanachakalika haswa kuandaa mazingira mara kupanga hiki na kile na usafi wa kufa mtu, mpaka kupika utapika au kuandaa chakula ambacho huwa huli mara kwa mara, vipi mkisha kuwa wote kwa mwezi ivi au ukiahakutana nae zaidi ya mara 5 akikwambia anakuja kama umelala unaweza usiamke mpaka anafika na huenda usifungue mlango kama upo wazi yeye mwenyewe akafungua na akapakuta gheto palo hivyo hivyo kama palivyokua muda mnaongea kuwa yupo njiani anakuja.

NAKUSHAURI TU ACHA KABISA KUANZA KUMLINGANISHA MCHUMBA WAKO NA PISI KALI ZA MJI UTAFELI UTAMUONA WAKWAKO KAMA ULIPITIWA IVI.

Sasa nakupa sababu ya ki ufundi zaidi, sababu ya Kiroho kuna baadhi ya watu kutokana na kukandamizwa kwao na mapepo au mambo ya mikosi katika familia au ukoo huwa hawaruhusiwi yaani wameshikiliwa kutoolewa, au haolewi kwa ndoa yani ni kuzalishwa tu afu badqe ndo labda asogezwe.

Wengine walichezewa mkono wao kushoto kwenye vidole husika kidole cha kwanza kidogo ni cha Uzuri na mvuto kwa mtu katika uhusiona walozi wakikuchezea hapo hutaonekana uzuri wako wala mvuto wako, kidole kile cha pili kushoto kile cha ndoa hicho nacho wakikiharibu katika swala la ndoa utapata tabu sana kama ni mdada kuolewa kwako itakua bahati nasibu au na utasakamwa na kuumizwa sana kwenye mahusiano.

Hivyo basi kati ya wewe au mwenzi wako mmoja wenu anaweza kuwa muhanga wa hizo sababu za Kiroho. Au wewe unaweza kuwa muhanga wa zile sababu za kisaikolojia za kuanza kumpambanisha mchumba wako na vi pisi kali vya mji.

KAMA UPO SERIOUS KUSAIDIKA NAKUSHAURI UPATE MSAADA WA KIROHO ISIWE KWA WAGANGA HAO WATAKUHARIBU ZAIDI, TAFUTA SEHEMU SAHIHI KWA MTUMISHI WA KWELI WA MUNGU WASIWE WATUMISHI JANJA JANJA.
 
Za jioni wakuu,

Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu...
Nahisi kuna jambo lilifanywa kwa wivu huko kwao ili usimuoe yeye au kuna namna Mungu anakuepusha shirikisha wazazi wako na yeye mwenyewe na wachungaji.
 
Bila kupoteza Muda ngoja nikupe jibu kuna sababu za kisaikolohia na sababu za ki roho, Naaza na za kisaikolojia.
Huenda baada ya kufanya process zote za ndoa na unajuabhuyo ndiye unayekuja kuishi nae umeanza kumlinganisha yeye na vi dada vingine kwenye mitandao huko fb...
Pendekeza mmoja wa watumishi mwenye uelewa wa vidole ili apate huduma ya kiroho
 
Huwa inatokea,na mara nyingi hasa maudhi yanapozidi na yeye haonekani kujali kuwa anakuudhi,inawezekana hata huo unao sema uvaaji ikawa ni chanzo,hii huja pale unapokuwa hutaki afanye jambo flani lakini yeye anaendelea kulifanya kinyume na unavyotaka,haijalishi ni dogo kiasi gani lakini kwako linakuwa ni kero....
 
Za jioni wakuu,

Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu...
Ukiona hivi basi juwa hizi ni dalili za wewe kuwa shoga, ipo siku utasikishwa ukuta tu kwa kutaka wewe mwenyewe.
 
Za jioni wakuu,

Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu...
umerogwa si bure. Hebu mgeukie mungu
 
Back
Top Bottom