Sina hata morali kufundisha wajita hawa.

Akiwa mwalimu wa kiswahili hilo ni janga zaid!! Maana kizungu tu kachapia mara kibao! Huko UD sijui alitokaje!

UD mbona majanga tupu?kama ana kadi ya ccm kwanini asitoke?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Komaa Huko Huko Usijipe Moyo Eti Upate TSD uhame! si kama unavodhani
 
Watakuwa watani zake..... Ipo jukwaa gani mada hii?
 
Mwa,pole sana utakuwa we ni mhanga wa hiyo kitu. ila ulihisi nimeokota shahada yangu nimeisotea!
 
unajua wengi wenu hamjui mziki wa udsm,aliye pita hapo labda atasema, pia English siyo lugha mama, common errors kawaida mbona,tena sikusoma kiswahili kabisa.
 

nipo bunda kaka asante kaka hata kunipa mori kidogo.
 
nipo bunda kaka asante kaka hata kunipa mori kidogo.

Kama ni Bunda mbona upo town kabisa kaka. Kila kitu kipo hapo,huduma muhimu zote zipo jirani tuu . Ebu pambana aisee acha kulialia. Nikukutanishe na afisa utumishi? wa hapo ni kijana wangu anaweza kukusaidia chochote.
 
Waswahili bwana!,akipata tu ka elim kidogo anapenda kuchanganya kiswahili na vingereza.Usishangae kukuta ni mwalim wa somo la Kiingereza huko ujitani lakini angalia kingereza chake eti kasota Mlimani.Jikaze ufanye kazi,ukishindwa acha ili uone ilivo kazi kupata kazi.
 
Mwaya we rudi tu watakupaje pesa ya siku tatu washakula hao viongozi wenu ! Taifa litajengwa na akina nani?? Kiitikio... Taifa litajengwa na waloWEZII hiyooo hiyooo hiyooo mama hiyoooooooooooo!!! We komaa tu ila usioze !!!
 
We Munkari ulishakimbia kazi au umeamua kukomaa.
utakuwa zamu lini ili niwe nakuamsha mapema.
 
Last edited by a moderator:
We Munkari ulishakimbia kazi au umeamua kukomaa.
utakuwa zamu lini ili niwe nakuamsha mapema.

ha ha eti zamu mbona ntakuwa najichelewesha! Wamenipa uheadmistress ntakuwa nakulakula vihela vya shule nimeamua kubaki loh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…