Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
- Thread starter
- #61
jerry kafundishe communication skills
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia ni graduate wa UDSM economics mwaka 2011. Baada ya kuhangaika na bahasha niliamua kujiajiri katika kilimo cha mpunga. Sasa nina kampuni yangu ya ukandarasi nimeajiri na watanzania wengine. Umepata kazi unaringa mkubwa!! Jipe malengo aisee,daka kamshahara jiongeze katika kilimo miaka miwili mitatu unapiga chini hiyo kazi.
Kamata 480 hiyo angalia fursa huko,Kuna mwalimu alipangiwa Katavi juzi kati alikuja mjini kuchonga mizinga ya nyuki 120.
Jiongeze huko huko
Ticha nakushauri usiweke kizungu kwenye comment zako!
Pole lakini, na wewe ujifunze kijita tu sasa
kaka nilitaka nwajuze jinsi walimu tunakosa kuthaminiwa ila npo hapa ki target zaidi.
ha ha eti zamu mbona ntakuwa najichelewesha! Wamenipa uheadmistress ntakuwa nakulakula vihela vya shule nimeamua kubaki loh!