Sina hata morali kufundisha wajita hawa.

Sina hata morali kufundisha wajita hawa.

vumilia mwalimu hi ndo serikali yetu na hi ndo nchi yetu ambayo hatuna budi kuitumikia kwa ghalama yoyote ili tuinusulu kutoka kwenye anguko kuu linalotunyemelea kwa karibu. kama ukianza kukata tamaa mapema ukombozi hautapaikana kwani mwalimu ndio mkombozi wa kwanza kwani yeye hukomboa kwanza fikra na ukombozi mwingine huja baada ya mtu kujieleawa. wish you all the best teacher. usiogope ipo siku utashinda.
 
Wafundishe vitu vya uongo kumaliza hasira
 
kwa nini watu husoma Education 1) Ameferi form 6 (2)kwao kipato kidogo 3)anaogopa maisha ni bora asome ed ili apate ajira (3)kusoma ualimu ni sawa kukubali umaskin hasa serikari ya tz huwanyanyapa walimu NB nilifanya uchunguzi nikiwa olevo wakati nipo seminary nikafika hitimisho Hata niferi mtihani siwezi kusoma Ed hata siku moja. Ni bora nirudie pepa Pamoja na changamoto za ajira ila ukikomaa unatoka tu
 
nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
Sasa umefeli form six ulitegemea kusoma nini?si thani kama mtu mwenye div 1 kali na anayejiamini na maisha asome ed ?jiulize kwanini T.O hawasomi Ed
 
kwa nini watu husoma Education 1) Ameferi form 6 (2)kwao kipato kogo 3)anaogopa maisha ni bora asome ed ili apate ajira (3)kusoma ualimu ni sawa kukubali umaskin hasa serikari ya tz huwanyanyapa walimu NB nilifanya uchunguzi nikiwa olevo wakati nipo seminary nikafika hitimisho Hata niferi mtihani siwezi kusoma Ed hata siku moja. Ni bora nirudie pepa Pamoja na changamoto za ajira ila ukikomaa unatoka tu

Uko sawa kbs mku,tatizo watu wanaogopa kusoma kozi zingine ili wasipate changamoto ya kutafuta kazi.
 
Jerry, hawa ndiyo aina ya walimu wanaokwenda kufundisha watoto wetu! Majanga.
Ingekuwa wanaajiriwa kutoka nje ya nchi hapo sawa, lakini ni wa humu humu nchini na ameichagua fani mwenyewe alafu analalamika. Tatizo fani ya ualimu ina watu ambao wanapenda kulalamika wakati graduate aliesoma ualimu na aliesoma fani nyingine wakiajiliwa kwenye halmashauri wanakuwa ngazi moja ya mshahara ajabu kwa walimu wanakuwa wanalia sana (wakati mwingine lazima tutambue maisha tunayoishi ni uchaguzi wetu wenyewe kikubwa ni kupambana na changamoto zilizopo na si kuzikimbia kwani shule zenyewe ndio hizo zipo vijijini na shule nyingi zimejengwa kwa vodafasta style na walimu pia wamehamasishwa wakahamasika kwenda kusoma)
 
Ticha lugha ya kizungu ticha uwe makin nayo. Ss unalalamika kusota UD miaka tatu,uliza wenzako Muhimbili wanasotea miaka mingapi,uliza SUA shule pasua kichwa sembuse weye? Vumilia km nyota jua likizama utatoka tuu ila heheheeeeehehhhhheeee usisahau kunoa ki-inglish chako mticha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mwaya we rudi tu watakupaje pesa ya siku tatu washakula hao viongozi wenu ! Taifa litajengwa na akina nani?? Kiitikio... Taifa litajengwa na waloWEZII hiyooo hiyooo hiyooo mama hiyoooooooooooo!!! We komaa tu ila usioze !!!

siondoki ila ntafundisha kwa ratio ya malipo.
 
Ticha lugha ya kizungu ticha uwe makin nayo. Ss unalalamika kusota UD miaka tatu,uliza wenzako Muhimbili wanasotea miaka mingapi,uliza SUA shule pasua kichwa sembuse weye? Vumilia km nyota jua likizama utatoka tuu ila heheheeeeehehhhhheeee usisahau kunoa ki-inglish chako mticha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

veve mi sua mara mhimbili sina habari nao mbona msoto kila mmoja anawake mwenyewe.
 
Ticha, hapo kwenye kizungu hapooooo ebu edit basi 'It doesn't make sense' badala ya it doesn't sense

Mkuu Msigwa lugha zimekuja na meli hizi. Ticha yupo sahihi tuu. Ni ngumu hata kwa graduate kujua kosa hilo la kimantiki.
 
Mkuu Msigwa lugha zimekuja na meli hizi. Ticha yupo sahihi tuu. Ni ngumu hata kwa graduate kujua kosa hilo la kimantiki.

Haya bana, huenda hajakosea sibishi ila katika kiingereza changu kama sense umeitumia ni verb ama noun its alright wala sitaki league mkuu, asante
 
Mkuu Msigwa lugha zimekuja na meli hizi. Ticha yupo sahihi tuu. Ni ngumu hata kwa graduate kujua kosa hilo la kimantiki.

Kwa maZingira ya tungo na maelezo yake huyu ticha matumiz ya verb sense ni hii hapa chini ImageUploadedByJamiiForums1397396514.513572.jpg
 
Mimi pia ni graduate wa UDSM economics mwaka 2011. Baada ya kuhangaika na bahasha niliamua kujiajiri katika kilimo cha mpunga. Sasa nina kampuni yangu ya ukandarasi nimeajiri na watanzania wengine. Umepata kazi unaringa mkubwa!! Jipe malengo aisee,daka kamshahara jiongeze katika kilimo miaka miwili mitatu unapiga chini hiyo kazi.
Kamata 480 hiyo angalia fursa huko,Kuna mwalimu alipangiwa Katavi juzi kati alikuja mjini kuchonga mizinga ya nyuki 120.
Jiongeze huko huko
 
Haya bana, huenda hajakosea sibishi ila katika kiingereza changu kama sense umeitumia ni verb ama noun its alright wala sitaki league mkuu, asante

Ha ha ha mkubwa sijasema hajakosea!! Hivi kama angekuwa anaongea ndio ingekuwa ngumu kabisa kujua.
Utakuwa umei-master sana hii lugha sio bure! Wenda hata ughaibuni umekwenda mkuu.
Hili kosa kwa mbongo wa kawaida ni ngumu kuling'amua.
 
Back
Top Bottom