kagalala nkulungo
Member
- Dec 29, 2012
- 81
- 48
Sasa umefeli form six ulitegemea kusoma nini?si thani kama mtu mwenye div 1 kali na anayejiamini na maisha asome ed ?jiulize kwanini T.O hawasomi Ednmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
kwa nini watu husoma Education 1) Ameferi form 6 (2)kwao kipato kogo 3)anaogopa maisha ni bora asome ed ili apate ajira (3)kusoma ualimu ni sawa kukubali umaskin hasa serikari ya tz huwanyanyapa walimu NB nilifanya uchunguzi nikiwa olevo wakati nipo seminary nikafika hitimisho Hata niferi mtihani siwezi kusoma Ed hata siku moja. Ni bora nirudie pepa Pamoja na changamoto za ajira ila ukikomaa unatoka tu
Ingekuwa wanaajiriwa kutoka nje ya nchi hapo sawa, lakini ni wa humu humu nchini na ameichagua fani mwenyewe alafu analalamika. Tatizo fani ya ualimu ina watu ambao wanapenda kulalamika wakati graduate aliesoma ualimu na aliesoma fani nyingine wakiajiliwa kwenye halmashauri wanakuwa ngazi moja ya mshahara ajabu kwa walimu wanakuwa wanalia sana (wakati mwingine lazima tutambue maisha tunayoishi ni uchaguzi wetu wenyewe kikubwa ni kupambana na changamoto zilizopo na si kuzikimbia kwani shule zenyewe ndio hizo zipo vijijini na shule nyingi zimejengwa kwa vodafasta style na walimu pia wamehamasishwa wakahamasika kwenda kusoma)Jerry, hawa ndiyo aina ya walimu wanaokwenda kufundisha watoto wetu! Majanga.
Usiwaadhibu Wajita, iadhibu serikali ya CCM kwenye uchaguzi ujao 2015
Mwaya we rudi tu watakupaje pesa ya siku tatu washakula hao viongozi wenu ! Taifa litajengwa na akina nani?? Kiitikio... Taifa litajengwa na waloWEZII hiyooo hiyooo hiyooo mama hiyoooooooooooo!!! We komaa tu ila usioze !!!
Sio uchochezi,CCM haikubaliki, lada akili yako iwe ina wadudu.Mkuu acha uchochezi!
Uko sawa kbs mku,tatizo watu wanaogopa kusoma kozi zingine ili wasipate changamoto ya kutafuta kazi.
Ticha lugha ya kizungu ticha uwe makin nayo. Ss unalalamika kusota UD miaka tatu,uliza wenzako Muhimbili wanasotea miaka mingapi,uliza SUA shule pasua kichwa sembuse weye? Vumilia km nyota jua likizama utatoka tuu ila heheheeeeehehhhhheeee usisahau kunoa ki-inglish chako mticha
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Ticha, hapo kwenye kizungu hapooooo ebu edit basi 'It doesn't make sense' badala ya it doesn't sense
Mkuu Msigwa lugha zimekuja na meli hizi. Ticha yupo sahihi tuu. Ni ngumu hata kwa graduate kujua kosa hilo la kimantiki.
Haya bana, huenda hajakosea sibishi ila katika kiingereza changu kama sense umeitumia ni verb ama noun its alright wala sitaki league mkuu, asante
Kwa maZingira ya tungo na maelezo yake huyu ticha matumiz ya verb sense ni hii hapa chiniView attachment 151154