Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Maneno yakujifariji mtu uko gerezani alafu unasema mi simfungwa
 
Yanga gani hiyo unayozungumzia, hii ya kufanya substitution za ajabu ajabu? Kocha hajui kusoma mchezo, na hata hicho anachosoma vibaya, wachezaji hawamuelewi
Lwandamina ametumwa kuivuruga yanga ili manji aonekane ameshindwa
 
Mkuu mm ni mpenzi wa yanga lkn Leo tunatolewa rasmi tatizo si wachezaji tatizo ni kuwa na kocha bonge la mzigo
usajili alifanya yeye kwani labda angesajili yeye ndio tungesema mzigo inatakiwa tumpe muda ni kocha mzuri
 
Back
Top Bottom