Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kwa nini isiwezekane?Hawa wazee wanaweza wang'oa vijanaeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini isiwezekane?Hawa wazee wanaweza wang'oa vijanaeee
Mpaka aje kushtuka domo lote limejaa inziHahahaa! Inzi wanaingia mdomoni basi
Hahahaaa! HatareeMpaka aje kushtuka domo lote limejaa inzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa! Inzi wanaingia mdomoni basi
Lwandamina ametumwa kuivuruga yanga ili manji aonekane ameshindwaYanga gani hiyo unayozungumzia, hii ya kufanya substitution za ajabu ajabu? Kocha hajui kusoma mchezo, na hata hicho anachosoma vibaya, wachezaji hawamuelewi
Ngoja tuendelee kuota[emoji28][emoji28]Kwa nini isiwezekane?
Na uzuri wa ndoto ili iwe kweli ama si kweli ni pale mechi itakapoisha.Ngoja tuendelee kuota[emoji28][emoji28]
Ni kweli emmy but kwa uyu tumbo timu imekua mbovuYa mungu mengi usikate tamaa kirahisi hivyo
usajili alifanya yeye kwani labda angesajili yeye ndio tungesema mzigo inatakiwa tumpe muda ni kocha mzuriMkuu mm ni mpenzi wa yanga lkn Leo tunatolewa rasmi tatizo si wachezaji tatizo ni kuwa na kocha bonge la mzigo
Itakua lile ndambiSijui walimpendea nini?
HahaaaaItakua lile ndambi
Hata mimi nimeoteshwa hivyo hivyoFull time Yanga 2 Zanaco 1
Kumbe nawe emmy ni mwana jangwaniHahaaaa
Kabisa aiseeKumbe nawe emmy ni mwana jangwani
Haaa basi vizurKabisa aisee