Washinde kwa uchaguzi upi?? Wasitupotezee mudaHawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa.
Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya October.
Yangu ni hayo.
Nileeteni likebo Niishi nalo nyumbani kwangu sijui ndani lina nyaya ngapi dadekiHawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa.
Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya October.
Yangu ni hayo.
Angalia usije kutamgulia wewe ambao unajona una afya na unafanya kazi na Mungu.Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa.
Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya October.
Yangu ni hayo.
Novena imeanza kufanya kazi bila shakaKwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Wameyataka watayapataIla una hoja mkuu.
Binafsi nchimbi namuona yuko weak sana kiafya.
Huyo Hangaya ukichangia na umri wake mkubwa ana pressure ya kupanda na kushuka.