Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

Moho tuachie timu yetu, umezidi utapeii ondoka kuanzia sasa tuiendeshe wenyewe
 
Kwahiyo makambo alikuwa bora sana kuliko fei
 
Hatutaki Hersi ajishushe tena wakati alishajishusha na kumuomba Feisali msamaha.
 
Kwahiyo makambo alikuwa bora sana kuliko fei
Kwahio unamaindi wachezaji wa nje kupewa hela nyingi kuliko feisal??

Kama haujui haujui tuu na utakaa hivyoivyo milele.

Hao wachezaji wa nje wamecheza klabu ngapi kabla ya kuja hapa bongo?? Thamani yao ipoje???

Wengine thamani yao ni kubwa zaidi..ila kwa sababu ya kasoro zao za nje ya mpira ndio maana wamefikia kucheza hapa bongo.

Morrison anajua sana soka..ila uchizi wake ndio uliomfukuzisha ligi ya sauzi..ila hakuishushi thamani yao.

Alafu tukisema tuwapime wachezaji wetu misuli, skills na talents walizonazo kimpira specific..utaona kuwa wana vitu vichache sana..au kawaida mno.

Nalaumu sana vipimo halali vilivyothibitishwa na FIFA kutokuwepo Tanzania...ndio maana mnapimia thamani wachezaji kimhemko.

Mnadhani mtu kama Ngolo Kante, Victor Wanyama, au Origi kwanini wanakuwa na thamani sana?

Jiulizeni kwanza kisha ndio muelewe.

Mi bila vipimo siez mpa mtu thamani ambayo hana.

Mpaka sasa hamjui thamani ya aziz ki na Yanga hawajui kumtumia vile inavyotakiwa..kiasi anaonekana hajui..

Hata Simba wasingejua kumtumia chama vizuri (kumtengenezea ufalme wake) mngemuona chama miyeyusho..hafai. (simaanishi kudribble pekee..namaanisha kumfanyia rotation ya key playing role na mengineyo)

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 

Hapa umeonesha hisia zaidi

Pole
 
Huna akili wewe ni mbumbumbu ,mkataba ni makubaliano naona ya pande mbili hashikiwi mtu bunduki. Mbona ulaya Mane alikuwa anazidiwa mshahara na wachezaji wengi wa kawaida pale Liverpool ?
Kilichofuatia ni nini! Mane kuondoka siyo
 
Acha kuandika ligaazeti kwa swali dogo tu? Huyo makambo angekuwa bora angeachwa na yanga? Si mngemuuza kwa mabilioni ya pesa?
 

Hapo ndio unafeli Na kutoka kwenye hoja

Alilazimishwa kukubaliana Na hicho kiwango “
 
Acha kuandika ligaazeti kwa swali dogo tu? Huyo makambo angekuwa bora angeachwa na yanga? Si mngemuuza kwa mabilioni ya pesa?
Sio kila mchezaji anayeachwa na Yanga sio bora.

Yanga wana historia ya kurudia matapishi yao wenyewe...

Morrison ni Bora au sio bora?

Mbona aliondoka na mmemsajili tena??

Swali la kijinga sana hili...[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 

Uzuri wa Mchezaji una upima vipi; ?


Nadhan Hata Ronald hawakujua namna ya kumtumia ndio maana akaenda arabuni,
Kama hiyo ndio hoja yako ya msingi .... basi sawa Morrison Na Aziz ni mzuri sana
 
Feisal; sina tatizo na maslah.
Masoud; kwahiyo tatizo lako ni nini?.
Feisal; Tatizo langu ni Rais wa Yanga!!,
masoud;Kwahiyo huna tatizo na mkataba wako na Yanga ?,
Feisal; Sina kabisa wala sina tatizo la mshahara.

Mashabiki wa KARIA FC; feisal anastahili kukipwa zaidi ya Aziz Key na Morrison😅😅, Bata waheed nyie.
 
Yani hii inamaanisha ulipiga screenshot kesho yake tangu niandike.

Ukaiweka kwenye device yako ikakaa zaidi ya mwezi ili uje uitumie leo.

Usikute kwenye simu yako ukafuta namba za wadeni wako ili hii picha ikae?
Niliisahau kuweka risiti mahala pake siku ile baada ya kizidiwa na furaha ,leo katika kusafisha na kuounguza vitu nikaikuta nikaona bora nimpe mwenyewe ajionee ndiyo alizokuwa anaota.
 
Kipindi fei anapewa ule mkataba na hile pesa kiwango chake akikua hiki Cha Leo alistahili na kipindi azizi ki anakunja ule mkataba na hile pesa alistahili kiwango chake akikua hiki Cha Leo kwahyo yote sawa tu eng rais yupo sahii 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…