Man Jau
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 507
- 779
Hizi sasa ni jeuir na ushabiki usiohusisha mpira.Nitajie mchezaji asiye wakawaida tumjue huwenda anachezea melini
Acha nikae kimya..
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi sasa ni jeuir na ushabiki usiohusisha mpira.Nitajie mchezaji asiye wakawaida tumjue huwenda anachezea melini
Mmmmh I smell something fishy hereWapi nimesema mimi utopolo ? mimi sina ushabiki wa mhemko na wakidunduka japo Azam lialia lakini kwenye ukweli na soka safi lazima niseme ?
Kwahiyo makambo alikuwa bora sana kuliko feiFeisal ni mchezaji wa kawaida sana..msiyafanye mambo yawe makubwa sana.
Mchezaji amesajiliwa bila vipimo..hili nalo mbona hujalisemea kama jipu lingine?
TFF wajitahidi kuhamasisha upimwaji wa wachezaji, mafunzo na ujenzi wa academies za mpira kwa wachezaji wa ndani ili wakue katika misingi bora ya mpira, elimu ya mpira, na mikakati (technical and tactical) na mengineyo ya kiufundi ya mpira.
Hivyo ndivyo vinavyopandisha thamani ya mchezaji..na sio maneno ya midomoni.
Hio thamani aliyopewa ni kubwa sana kuliko uwezo wake..tusiwe wanafki.
Mtu ana concentration ndogo sana uwanjani..sometimes anazubaaga mno kwenye game...na hivi hajacheza siku nyingi..
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Hatutaki Hersi ajishushe tena wakati alishajishusha na kumuomba Feisali msamaha.Feisal alishaapa kuwa hataki kurudi tena Yanga, je unataka Hersi aende kwa Feisal akambeleze? Unataka Hersi ndio akajishushe kwa Feisall kana kwamba hakuna wachezaji wengine?
Mkataba ambao Feisali alikuwa anaangaika kuuvunja, je alisainiwa na nani? Alilazimishwa kukubaliana na hiko kiwango cha mshahara?
TFF unaonaowalau wewe ulipaswa kutaja na vifungu vya sheria ambavyo TFF walishindwa kuvitafsiri au kushindwa kuvifuata. Ukiishia tu kulaumu pasipo kutaja makosa ya kisheria basi haijuii kuhusu sheria.
Kwa jicho la jamaa usikute Makambo hakuwa mchezaji wa kawaidaKwahiyo makambo alikuwa bora sana kuliko fei
Kozi nilichukua hapa kisha nikajiongeza mwenyewe , kula china hiyo.Mmmmh I smell something fishy here
Kwahio unamaindi wachezaji wa nje kupewa hela nyingi kuliko feisal??Kwahiyo makambo alikuwa bora sana kuliko fei
Yani hii inamaanisha ulipiga screenshot kesho yake tangu niandike.Kozi nilichukua hapa kisha nikajiongeza mwenyewe , kula china hiyo.View attachment 2650437
[emoji419]Maneno meeengi, lakini upuuzi mtupu!
Kiwango Cha mchezaji kina panda na kushuka, kwa hiyo kila siku utakuwa una-amend mikataba?
Nimejaribu kukufatilia kuona kama una hoja nimekuja kundua kuwa ni ushabiki ndio unaokusumbua. Timu inayoshuka daraja imewezaje kumtoa timu ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya Misri? Au ligi ya Misri kwasasa haina ubora? Timu ipi iliyoshindwa kusafiri kipondi cha mechi za hatua za makundi?
Kilichofuatia ni nini! Mane kuondoka siyoHuna akili wewe ni mbumbumbu ,mkataba ni makubaliano naona ya pande mbili hashikiwi mtu bunduki. Mbona ulaya Mane alikuwa anazidiwa mshahara na wachezaji wengi wa kawaida pale Liverpool ?
Acha kuandika ligaazeti kwa swali dogo tu? Huyo makambo angekuwa bora angeachwa na yanga? Si mngemuuza kwa mabilioni ya pesa?Kwahio unamaindi wachezaji wa nje kupewa hela nyingi kuliko feisal??
Kama haujui haujui tuu na utakaa hivyoivyo milele.
Hao wachezaji wa nje wamecheza klabu ngapi kabla ya kuja hapa bongo?? Thamani yao ipoje???
Wengine thamani yao ni kubwa zaidi..ila kwa sababu ya kasoro zao za nje ya mpira ndio maana wamefikia kucheza hapa bongo.
Morrison anajua sana soka..ila uchizi wake ndio uliomfukuzisha ligi ya sauzi..ila hakuishushi thamani yao.
Alafu tukisema tuwapime wachezaji wetu misuli, skills na talents walizonazo kimpira specific..utaona kuwa wana vitu vichache sana..au kawaida mno.
Nalaumu sana vipimo halali vilivyothibitishwa na FIFA kutokuwepo Tanzania...ndio maana mnapimia thamani wachezaji kimhemko.
Mnadhani mtu kama Ngolo Kante, Victor Wanyama, au Origi kwanini wanakuwa na thamani sana?
Jiulizeni kwanza kisha ndio muelewe.
Mi bila vipimo siez mpa mtu thamani ambayo hana.
Mpaka sasa hamjui thamani ya aziz ki na Yanga hawajui kumtumia vile inavyotakiwa..kiasi anaonekana hajui..
Hata Simba wasingejua kumtumia chama vizuri (kumtengenezea ufalme wake) mngemuona chama miyeyusho..hafai. (simaanishi kudribble pekee..namaanisha kumfanyia rotation ya key playing role na mengineyo)
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Feisal alishaapa kuwa hataki kurudi tena Yanga, je unataka Hersi aende kwa Feisal akambeleze? Unataka Hersi ndio akajishushe kwa Feisall kana kwamba hakuna wachezaji wengine?
Mkataba ambao Feisali alikuwa anaangaika kuuvunja, je alisainiwa na nani? Alilazimishwa kukubaliana na hiko kiwango cha mshahara?
TFF unaonaowalau wewe ulipaswa kutaja na vifungu vya sheria ambavyo TFF walishindwa kuvitafsiri au kushindwa kuvifuata. Ukiishia tu kulaumu pasipo kutaja makosa ya kisheria basi haijuii kuhusu sheria.
Sio kila mchezaji anayeachwa na Yanga sio bora.Acha kuandika ligaazeti kwa swali dogo tu? Huyo makambo angekuwa bora angeachwa na yanga? Si mngemuuza kwa mabilioni ya pesa?
Kwahio unamaindi wachezaji wa nje kupewa hela nyingi kuliko feisal??
Kama haujui haujui tuu na utakaa hivyoivyo milele.
Hao wachezaji wa nje wamecheza klabu ngapi kabla ya kuja hapa bongo?? Thamani yao ipoje???
Wengine thamani yao ni kubwa zaidi..ila kwa sababu ya kasoro zao za nje ya mpira ndio maana wamefikia kucheza hapa bongo.
Morrison anajua sana soka..ila uchizi wake ndio uliomfukuzisha ligi ya sauzi..ila hakuishushi thamani yao.
Alafu tukisema tuwapime wachezaji wetu misuli, skills na talents walizonazo kimpira specific..utaona kuwa wana vitu vichache sana..au kawaida mno.
Nalaumu sana vipimo halali vilivyothibitishwa na FIFA kutokuwepo Tanzania...ndio maana mnapimia thamani wachezaji kimhemko.
Mnadhani mtu kama Ngolo Kante, Victor Wanyama, au Origi kwanini wanakuwa na thamani sana?
Jiulizeni kwanza kisha ndio muelewe.
Mi bila vipimo siez mpa mtu thamani ambayo hana.
Mpaka sasa hamjui thamani ya aziz ki na Yanga hawajui kumtumia vile inavyotakiwa..kiasi anaonekana hajui..
Hata Simba wasingejua kumtumia chama vizuri (kumtengenezea ufalme wake) mngemuona chama miyeyusho..hafai. (simaanishi kudribble pekee..namaanisha kumfanyia rotation ya key playing role na mengineyo)
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Niliisahau kuweka risiti mahala pake siku ile baada ya kizidiwa na furaha ,leo katika kusafisha na kuounguza vitu nikaikuta nikaona bora nimpe mwenyewe ajionee ndiyo alizokuwa anaota.Yani hii inamaanisha ulipiga screenshot kesho yake tangu niandike.
Ukaiweka kwenye device yako ikakaa zaidi ya mwezi ili uje uitumie leo.
Usikute kwenye simu yako ukafuta namba za wadeni wako ili hii picha ikae?