Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

Pole...
Ni kwasababu umeshawah kumkata anaku cheat??

Au

Ni kwasababu wewe ndio huwa unam cheat kwa style zinazofanana na hizi??

Anyway,

Kaa nae chini mueleze unavyojihisi kiukwel. Kisha mwambie afabye juu chini ku lcear your doubts.
Maisha ya sasa ni rahisi tu, omba kuzungumza na waliomu invite, wahiji maswali yako kisha anzia hapo ku judge, sio kulia lia tu bila sababu za msingi!.
 
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo

Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
Wanawake mnashida sana,wewe jali ikiwa unakula na kunywa na mahitaji muhimu unapata,mambo ya kuhisi kuwa atachepuka huko aendako mwachie yeye.

Kwa taarifa yako ni asilimia chache sana ya wanaume ambao hawana michepuko,na ukiona hivyo jua huyo mwanamme hana pesa(masikini) au mgonjwa,na asilimia 0.5 ni wale wanaoheshimu ndoa zao

Wanawake waliumbwa ili kutuburudisha sisi wanaume,toka kuumbwa kwa ulimwengu mwanaume aliamuliwa kuwa na wake wengi,sio mmoja,achana na mafundisho ya wazungu
 
Kasheshe😂 kwahiyo na mkeo akawe kiburudisho cha bosi wake ofisini na tusisikie umemchinja.

We ukaburudike na wa wengine alafu wako unamfungia ndani kama gearbox vipi🤣
 
Wife ndo umekuja kuniandika huku? Ungenieleza tu juu ya wasiwasi wako tukayamaliza ndani. Sasa hawa watu wa jf wasiojua chochote kuhusu maisha yetu watakushauri nini chenye uhalisia wa ndoa yetu?
 
Kasheshe😂 kwahiyo na mkeo akawe kiburudisho cha bosi wake ofisini na tusisikie umemchinja.

We ukaburudike na wa wengine alafu wako unamfungia ndani kama gearbox vipi🤣
Nature hairuhusu hivyo,kitendo cha mimi kutoa mahali basi ni ishara tosha kuwa huyo mwanamke ataishi chini ya matakwa yangu,nature imekipa nguvu kiumbe cha jinsia ME,angalia kwa wanyama na ndege,hiyo ndo asili
 
Back
Top Bottom