Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo

Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
😆 Kumradhi, sikucheki bali nacheka.

Kikubwa unachoweza fanya ni kumuombea mumeo arudi mzima. Yumkini hofu ulionayo ni malaika wanakusisitiza kumtanguliza kwenye maombi, si unajua safari zina mazingzong mengi.
 
Dada katalina mbona umekimbia uzi hujaja kujibu hoja?
 
Tafuta ishu ya kufanya usishinee tu sebuleni kubadili channel za TV.
 
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo

Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
😁🤣😁🤣🤣😁😁🤣Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu Zangu

Tulia Akalete Mkate Wa Kila Siku
 
sio sawa ivo lakini 😂😂
Bana...ukipata bwana olewa tuu..wasikutishe hao ndoa ina raha yake..udambwi dambwi kama huo..stresa kidogo..furaha nyingi...ugomvi kidogo..basi rahaaa...
 
Bana...ukipata bwana olewa tuu..wasikutishe hao ndoa ina raha yake..udambwi dambwi kama huo..stresa kidogo..furaha nyingi...ugomvi kidogo..basi rahaaa...
😂😂😂😂 Lakini mbona shuhuda za ndoa tamu ni chache kuliko zile za ndoa chungu,,,weeeee huu sio mtego kweli?
 
Just live your life my dear
Hayo mawazo yatakutesa sana
Unaweza kumuuliza na akakupa adi vithibitisho kuonyesha anaenda huko kweli ila je akishafika huko una hakika atakua analala mwenyewe?
Fanya yako achana na hayo mawazo or else hiyo ndoa utaivunja soon
 
Back
Top Bottom