Sina kabisa mpango wa kutoa mkono wa sweta ( kutahiriwa) kwa sababu zifuatazo

Supported mku!! Hata mimi nang'ang'aniwa na mademu sababu ya govi langu!! Silitoi ng'oooo
When an idiot acknowledge the ignorance of another idiot. They make two perfect idiot's
 
Utakua Msukuma au mtu wa nyada za juu kusini au nyanda za songea, mtwara na Lindi na Iringa maana katika ziara zangu za kimaisha nshaona sana MABANGO YA MATANGAZO ya kutahiriwa kama ambavyo sijayao Dar
 
Utakua Msukuma au mtu wa nyada za juu kusini au nyanda za songea, mtwara na Lindi maana katika ziara zangu za kimaisha nshaona sana MABANGO YA MATANGAZO ya kutahiriwa kama ambavyo sijayao Dar
Mtwara na Lindi hawapo kwenye hilo kundi wanaenda jando kwa wavulana na unyago kwa wasichana
 
Hata mimi sina mpango kwa kweli! Ninachokipata nakujua mwenyewe. Hawa walemavu waluokatwa bila kujua wanatumia nguvu nyingi kutufanya tujisikie vibaya ili na sisi tukate tufanane nao. HATUDANGANYIKIIIII.Mlijichanganya wenyewe mtuache wenzenu tufurahie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Govi huwa linasugua kisawasawa papuchi
Lkn kuna madhara makubwa saana ya maambukizi
Govi lina pokea kiurahusi saana vidudu vya HIV kirahisi saana yaani unaupata bila hata mchubuko
Na magonjwa mengi ya zinaa huwa yanajificha ktk govi
Siku ugonjwa ukiibuka ujue imeshakomaa[emoji1321]‍♂️
 
Mi nliona mabango TUNDURU, NAMTUMBO NA SONGEA nkajua hadi kwenu

[emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Mtwara na Lindi hawapo kwenye hilo kundi wanaenda jando kwa wavulana na unyago kwa wasichana
 
Kabisa mkuu
 
Kwahiyo mkuu wenye ngoma wote wana magovi
 
Tunaaminishwa tu na sisi tunaimba kama kwaya! Una ushahidi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…