sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,759
Kwa hiyo unamaanisha waislam wote wanaomaliza kukojoa wakajiosha hawajatahiliwa??Hivi haya madude si ndio nasikia ukijisaidia haja ndogo lazima uoshe na maji vinginevyo yanatoa harufu kali...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unamaanisha waislam wote wanaomaliza kukojoa wakajiosha hawajatahiliwa??Hivi haya madude si ndio nasikia ukijisaidia haja ndogo lazima uoshe na maji vinginevyo yanatoa harufu kali...?
NASIKIA,sio mimi mkuu,hayo mengine umeongezea wewe...Kwa hiyo unamaanisha waislam wote wanaomaliza kukojoa wakajiosha hawajatahiliwa??
Muache akue ataamua yeye mwenyewe akikua kama anataka kutahiliwa au hataki
Ni msukuma huyo asikuchanganyeni kweli mkuu..wengine wanakua traumatized for life