Sina kazi nashinda na simu muda wote

Mkuu, kiufupi, Mungu akubariki.
 
Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Jichanganye na watu mkuu ndyo mwanga utakuangaza kutoka gza kubwa na atilist utaona hatma ya kuongaza maono yako muombe Mungu akupe watu watakao kunyooshea rdh
 
Mkuu nipe idea ya online business napenda Sana kufanya nicheki 0744312003
 
jifunze vitu vingi sana mpaka uwe mbobezi kwenye hivyo vitu yan uwe na uwezo wa kuvielezea kama expert halafu uwe consultant aka winga issue ni nyingi kuanzia electronics , viwanja , vyumba magari nguo nimeona wavuta bange wamekushauri uuze simu usiuze hio ndio ofis aka head quarters
 
Kuhusu kujua vitu vingi au maarifa mengi inalipa

Kuna mwamba anajua mambo mpaka anatafutwa,akikaa na watu lisaa limoja kuongea nao analipwa kama laki moja au kasoro kidogo
 
Kuhusu kujua vitu vingi au maarifa mengi inalipa

Kuna mwamba anajua mambo mpaka anatafutwa,akikaa na watu lisaa limoja kuongea nao analipwa kama laki moja au kasoro kidogo
umeona mkuu na hapo ni kuongea tu je wakimpa jambo alisimamie sivimilioni mjamaa anavuta
kuna wadau humu wamebobea kwa field zao kama kina RRONDO kwenye mandinga au chief mkwawa kwenye ma electronics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ