Sina kazi nashinda na simu muda wote

Sina kazi nashinda na simu muda wote

Ajirq zipo nyingi tu. Anza kwa kuuza Simu hiyo. Nunua ndoo za maji, vifuko na tengeneza maji ya kandoro na maji mengine uwe unauza kwa vikombe. Utapata pesa na acha kuliza humu JF huku umeweka Bundle na unatumia simu ya 600,000 Plus.

Pili, tafuta fundi uwe Saudia fundi bro. Acha kujifanya msomi. Pambana mitaani. Ukosjimdwa hiyo, niambie nikupe Mkataba lwenye pikipiki yangu uwe boda maisha yasonge mbele.
Mkuu, kiufupi, Mungu akubariki.
 
Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Jichanganye na watu mkuu ndyo mwanga utakuangaza kutoka gza kubwa na atilist utaona hatma ya kuongaza maono yako muombe Mungu akupe watu watakao kunyooshea rdh
 
Me sijaajiliwa nimemaliza chuo mwaka 2020 degree ya industrial metrology and standardization, japo nina uhitaji wa ajira ila sijamua kukaa kinyonge.

Huwa nina msemo wangu kuwa SIMU YANGU OFISI YANGU.

Na kweli kupitia simu yangu nimeweza kufanya mambo mengi ya kimaendeleo ambayo ata watu wengine walio ajiliwa hawajafikia.

Kwasasa online business zimekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana Hebu jaribu hilo chaka.
Mkuu nipe idea ya online business napenda Sana kufanya nicheki 0744312003
 
jifunze vitu vingi sana mpaka uwe mbobezi kwenye hivyo vitu yan uwe na uwezo wa kuvielezea kama expert halafu uwe consultant aka winga issue ni nyingi kuanzia electronics , viwanja , vyumba magari nguo nimeona wavuta bange wamekushauri uuze simu usiuze hio ndio ofis aka head quarters
 
Kuhusu kujua vitu vingi au maarifa mengi inalipa

Kuna mwamba anajua mambo mpaka anatafutwa,akikaa na watu lisaa limoja kuongea nao analipwa kama laki moja au kasoro kidogo
 
Kuhusu kujua vitu vingi au maarifa mengi inalipa

Kuna mwamba anajua mambo mpaka anatafutwa,akikaa na watu lisaa limoja kuongea nao analipwa kama laki moja au kasoro kidogo
umeona mkuu na hapo ni kuongea tu je wakimpa jambo alisimamie sivimilioni mjamaa anavuta
kuna wadau humu wamebobea kwa field zao kama kina RRONDO kwenye mandinga au chief mkwawa kwenye ma electronics
 
Back
Top Bottom