ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Salam,
Kuna dada anamiaka 30 ni mzuri,msafi na anajua kumiliki nyumba vizuri (mchaga)tatizo ni dini na kumwambia sina malengo nae nashindwa kwani kila nkichepuka nakutana na vitoto vidogo visivyo elewa maisha basi nabaki na mchaga wangu.ila natamani achepuke yeye nimuache na maisha yake haitokei hiyo nafasi,basi natamani niuze namba watu wamtokee wamuoe ila naona anaweza dondokea kwa matapeli wa mapenzi.sijui namsaidieje?
Ushauri.