Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
wengi wao huweza kuonyesha mapenzi ya kuzuga ila wakishaolewa uhalisia wao ndo huonekana. Kwahiyo jamaa lazima achunguze zaidi kama ni tabia yake au she behaves in such a way for the purpose.
Mbona me naona kama watu wa umri huo wanakuwa mature sana ingawa age has nothing to do with maturity? Like mtu ameshahangaika huko, kafanya starehe zake, so ameamua kutulia.
All in all ni suala la kumuomba tu Mungu akupe mtu sahihi kwa ajili yako regardless of her age. Uwe na uwezo wa kutambua Kwamba she is real, sio anafake kwa sababu ya ndoa. Coz hata below 25 wapo wanaofake ili waolewe tu