Hivi mtoa mada ametaja umri wake mkuu? Au Mimi ndio sijasoma vizuri.
Matendo yanakufanya ujue umri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mtoa mada ametaja umri wake mkuu? Au Mimi ndio sijasoma vizuri.
Matendo yanakufanya ujue umri.
Wana jf habari,
nimeoa mke mwenzi wa tano mwaka huu na toka tuoane mara nyingi tumekuwa na migogoro inayosababishwa na yeye kutaka kunikaa kichwani nami nakubali ili kumaliza gugu,
wiki iliyopita alinirushia ngumi usoni si nkaripiza fasta na kumshika asilete madhara ,si kasema na kuutangazia uma wote kwamba nimempiga bila sababu na ameondoka home na ameenda polisi kunikatia rb.
Washauri wangu wanasema mwanamke mjamzito anasikilizwa hivo nijiandae kwa kesi ya kujibu hapa nilipo sina raha siku ya tano leo na mwenyewe amebadili line ili nsimtafute.
Mkuu , MKE huyu nae pia ni VIJITOTO visivyojua maisha?.....
Mkeo alikiwa mjamzito, vipi mtoto unahudumia lakini?.
Au unataka kutuaminisha kuwa wewe bado ni KIJANA hujaoa?.....au hii ya MCHAGA ni CHANGAMSHA BARAZA tu?......
"Kwa hisani ya Hansard za JF"
Cc Tyta
Humchukua mvulana miaka mingi kuwa mwanaume kamili....
Ile ya RB alinitisha lkn tuliachana baada ya kujifungua,baada ya muda nikahamishiwa mkoani nilipokutana na mchaga,mtoto namuhudumia kwa matibabu na hata kumtafutia house girl wa kukakaa na mtoto,ila ana maruhani fulani ambayo nimekuja kujua baada ya kumuacha kuwa yanataka akae peke yake ,kuna kipindi yeye na mtoto walikuwa wanasumbua kumwita shehk ndio alilisema hilo la kutaka kukaa peke,kwa vile nsMkuu mimi nadhani huyu hata hatua ya uvulana bado hajafika, bado "ubwabwa wa shingo haujamtoka"
Angalia hapo juu nimeweka post yake ya nyuma akieleza eti mke wake amekimbia na amempeleka na RB polisi. Leo anakuja na hekaya mpya.....
Dunia ina mambo
Khaa!! Sasa lazima umuoe? Muajiri kama mshauri wako mkuu katika maisha. hasa katika Nyanja ya maendeleo na uchumiHajawahi lakini nimeanza ujenzi wa nyumba kwa mara ya kwanza naishani mwangu ananishauri vingi kama mke wangu.na vyengine huwa anaona mbali sana na kunishauri maana ana upeo mkubwa wa akili na ujanja wa kuzaliwa.
Ni kweli lakini sitaki adondokee kwa matapeli,lakini pia natafuta sababu kutoka kwake yeye sipati maana ikipigwa simu anaweka loudspika na kuongea bila kuficha ficha au kupuuzia simu.
Na mkiingua ndani dk tano anakuandalia matunda anaweka ndani ya frig ukimaliza kuoga tayari yana kaubalidi akienda yeye kuoga akirudi unapewa matunda mezani yakiwa yanaubaridi wa kupoza koo.yaani ni raha tu.
Yapo mengi maana mimi ni mfanyakazi yeye ni graduate wa diploma,vitu vingi nimempa mpaka microwave,na nimempeleka veta kujifunza gari na nampa gari yangu kwa mazoezi kwa sasa,kila mwezi nampa pocket money ya kutosha na nikienda shopping ni kama nipo na mke wangu achague chake na ananishauri mwonekano wangu kwenye nguo,na kunifanya nionejane smart kila leo
Humchukua mvulana miaka mingi kuwa mwanaume kamili....
Don't continue waste her time.. Kuna watu huko nje anawakataa cz of you.. Muache mapema aendelee na maisha yake