Salam,
Kuna dada anamiaka 30 ni mzuri,msafi na anajua kumiliki nyumba vizuri (mchaga)tatizo ni dini na kumwambia sina malengo nae nashindwa kwani kila nkichepuka nakutana na vitoto vidogo visivyo elewa maisha basi nabaki na mchaga wangu.ila natamani achepuke yeye nimuache na maisha yake haitokei hiyo nafasi,basi natamani niuze namba watu wamtokee wamuoe ila naona anaweza dondokea kwa matapeli wa mapenzi.sijui namsaidieje?
Ushauri.
Kuwa mwanaume umwambie ukweli tu kuwa huna mizuka nae.
Anayafanya hayo kwako kwa sababu jua linaelekea kuzama kwa upande wake endelea kujipa hope unapendwa
umesema kikwako kikubwa ni dini..ushawahi kumwambia/kuliongelea hilo?Wanawake hutakaga sababu ya maana kwa kila umwambialo mwanamke
Salam,
Kuna dada anamiaka 30 ni mzuri,msafi na anajua kumiliki nyumba vizuri (mchaga)tatizo ni dini na kumwambia sina malengo nae nashindwa kwani kila nkichepuka nakutana na vitoto vidogo visivyo elewa maisha basi nabaki na mchaga wangu.ila natamani achepuke yeye nimuache na maisha yake haitokei hiyo nafasi,basi natamani niuze namba watu wamtokee wamuoe ila naona anaweza dondokea kwa matapeli wa mapenzi.sijui namsaidieje?
Ushauri.
Hatujawahi lkn mama yake ni kiongozi wa dini na muhamasishaji mpaka saa tano usiku huwa anatoa huduma,huyu mwanae ni wa kwanza wa mwisho kazalishwa shuleni na mama amempokeea mtoti sasa sitaki niiuzi famili yao.umesema kikwako kikubwa ni dini..ushawahi kumwambia/kuliongelea hilo?
Kwa sababu ana miaka 30 au? So watu wa umri huo hawana real love?
Hajawahi lakini nimeanza ujenzi wa nyumba kwa mara ya kwanza naishani mwangu ananishauri vingi kama mke wangu.na vyengine huwa anaona mbali sana na kunishauri maana ana upeo mkubwa wa akili na ujanja wa kuzaliwa.Khaa!! ofisa kwani yeye kakwambia ana malengo na wewe?? Uza namba bana..