Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
wengi wao huweza kuonyesha mapenzi ya kuzuga ila wakishaolewa uhalisia wao ndo huonekana. Kwahiyo jamaa lazima achunguze zaidi kama ni tabia yake au she behaves in such a way for the purpose.
Mbona me naona kama watu wa umri huo wanakuwa mature sana ingawa age has nothing to do with maturity? Like mtu ameshahangaika huko, kafanya starehe zake, so ameamua kutulia.
All in all ni suala la kumuomba tu Mungu akupe mtu sahihi kwa ajili yako regardless of her age. Uwe na uwezo wa kutambua Kwamba she is real, sio anafake kwa sababu ya ndoa. Coz hata below 25 wapo wanaofake ili waolewe tu
Salam,
Kuna dada anamiaka 30 ni mzuri,msafi na anajua kumiliki nyumba vizuri (mchaga)tatizo ni dini na kumwambia sina malengo nae nashindwa kwani kila nkichepuka nakutana na vitoto vidogo visivyo elewa maisha basi nabaki na mchaga wangu.ila natamani achepuke yeye nimuache na maisha yake haitokei hiyo nafasi,basi natamani niuze namba watu wamtokee wamuoe ila naona anaweza dondokea kwa matapeli wa mapenzi.sijui namsaidieje?
Ushauri.
Hajawahi lakini nimeanza ujenzi wa nyumba kwa mara ya kwanza naishani mwangu ananishauri vingi kama mke wangu.na vyengine huwa anaona mbali sana na kunishauri maana ana upeo mkubwa wa akili na ujanja wa kuzaliwa.
Noted lakini wakati ambao hata niacha kama mwana mkiwa.Duh.., kweli kwenye miti hapana wajenzi!
Mkuu, inaelekea hujui unataka mwanamke wa aina gani maishani mwako. Muache huyo mwenye vision na ushauri mzuri ukaoe mwanamke wallet anayejua matumizi ya pesa bila kutakakujua zinatafutwaje!
Utajutaaaaaa kuzaliwa mwanaume!!
Swala la tofauti ya dini umesema hamjazungumza.., why..?! Yaelekea humpendi ndio maana ueweka bakaa mbele (kumsakizia kiza ili umuache!
Ushauri: Acha kuwa mnafiki, mueleze ukweli asonge mbele na maisha yake.
najaribu kumfungulia njia tofauti tofauti ikiwemo kwenda kwenye hotel kubwa na kuuza sura kwa kunywa wine muda mrefu ili aonekane na wadau mbali mbali japo yeye anajua mi nafanya starehe tu.kama hapa nangoja pm na niwachunguze kabla y kutoa namba yake maana mi nampenda sana na sitaki aharibiwe.Mwache mchaga apate anayempenda
Ni mrembo balaa yaani asubuhi anakunywa maji ya moto na kulifanya tumbo lake lisiwe na manyama nyama,sura na uso mwembamba nakichwani humalizia na rasta kila leo.na umri wala sio tatizo tatizo umri wake utasonga mbele na mimi sina mpango wa kuoa,nilioa niliacha na ntaoa kwa niliyemuacha maana kero za ndoa kupitia jf naona ni zile zile tuMuoe huyo mchaga mwenye miaka 30,halafu utajua kuwa mwanamke umri ukifika miaka 30 ananyenyekea wanaume kama mtu anayeomba kazi halafu akipata anabadilika MAJUTO NI MJUKUU
najaribu kumfungulia njia tofauti tofauti ikiwemo kwenda kwenye hotel kubwa na kuuza sura kwa kunywa wine muda mrefu ili aonekane na wadau mbali mbali japo yeye anajua mi nafanya starehe tu.kama hapa nangoja pm na niwachunguze kabla y kutoa namba yake maana mi nampenda sana na sitaki aharibiwe.
Ni mrembo balaa yaani asubuhi anakunywa maji ya moto na kulifanya tumbo lake lisiwe na manyama nyama,sura na uso mwembamba nakichwani humalizia na rasta kila leo.na umri wala sio tatizo tatizo umri wake utasonga mbele na mimi sina mpango wa kuoa,nilioa niliacha na ntaoa kwa niliyemuacha maana kero za ndoa kupitia jf naona ni zile zile tu
Hivi inakuwaje mdada wa miaka 30 unadate na kivulana teenager.
shule zimefungwa naona
Hajawahi lakini nimeanza ujenzi wa nyumba kwa mara ya kwanza naishani mwangu ananishauri vingi kama mke wangu.na vyengine huwa anaona mbali sana na kunishauri maana ana upeo mkubwa wa akili na ujanja wa kuzaliwa.