Sina malengo naye lakini ukarimu wake unaniweka pazuri

mkuu unaogopa kumuacha atadondokea kwa matapeli wa mapenzi, na wewe unataka kumuacha huwoni kama na wewe ni tapeli wa mapenzi?

kwa jinsi alivyo huyo dada ukimuacha tu, mpaka kuja kumpata kama huyo ni kazi uta ambulia kujilaumu tu
 

Mkuu , MKE huyu nae pia ni VIJITOTO visivyojua maisha?.....
Mkeo alikiwa mjamzito, vipi mtoto unahudumia lakini?.
Au unataka kutuaminisha kuwa wewe bado ni KIJANA hujaoa?.....au hii ya MCHAGA ni CHANGAMSHA BARAZA tu?......

"Kwa hisani ya Hansard za JF"
Cc Tyta
 
Last edited by a moderator:
Mungu atakushikisha adabunutakutana na mwanamke hakupend utapata adab
 

Hahaaaa safii
 
Last edited by a moderator:
Humchukua mvulana miaka mingi kuwa mwanaume kamili....

Mkuu mimi nadhani huyu hata hatua ya uvulana bado hajafika, bado "ubwabwa wa shingo haujamtoka"
Angalia hapo juu nimeweka post yake ya nyuma akieleza eti mke wake amekimbia na amempeleka na RB polisi. Leo anakuja na hekaya mpya.....
 
Mkuu mimi nadhani huyu hata hatua ya uvulana bado hajafika, bado "ubwabwa wa shingo haujamtoka"
Angalia hapo juu nimeweka post yake ya nyuma akieleza eti mke wake amekimbia na amempeleka na RB polisi. Leo anakuja na hekaya mpya.....
Ile ya RB alinitisha lkn tuliachana baada ya kujifungua,baada ya muda nikahamishiwa mkoani nilipokutana na mchaga,mtoto namuhudumia kwa matibabu na hata kumtafutia house girl wa kukakaa na mtoto,ila ana maruhani fulani ambayo nimekuja kujua baada ya kumuacha kuwa yanataka akae peke yake ,kuna kipindi yeye na mtoto walikuwa wanasumbua kumwita shehk ndio alilisema hilo la kutaka kukaa peke,kwa vile ns
hajua nini lilikuwa tatizo ntamrejea mtalaka wangu.
 
Dunia ina mambo

bitebo7;
wala!! Dunia haina hata jambo moja, wenye mambo ni nyiye mnaojirahisisha kihivyo. Ati jamaa anamnadi humu jf aone ka kuna mtu atamwangalia. Nnani mla makombo? Tena ya wazi kabisa. Nafuu atakaye nidanganya kuwaa ni bikra kumbe ya kichina. Ganda la muwa ka jana, chungu kaona kivuno. Silitaki wala siulizii namba yake
 
we kwann ulimtongoza acha kucheza na hisia za watu wewe. Kama unajua maumivu ya moyo yanavyoumq ni bora usitongoze mwenye kujua huna mda naye. Ni vyema utembelee kimboka bar,shivaz nk
 
Hajawahi lakini nimeanza ujenzi wa nyumba kwa mara ya kwanza naishani mwangu ananishauri vingi kama mke wangu.na vyengine huwa anaona mbali sana na kunishauri maana ana upeo mkubwa wa akili na ujanja wa kuzaliwa.
Khaa!! Sasa lazima umuoe? Muajiri kama mshauri wako mkuu katika maisha. hasa katika Nyanja ya maendeleo na uchumi
 
Don't continue waste her time.. Kuna watu huko nje anawakataa cz of you.. Muache mapema aendelee na maisha yake
 

Utake nini tena kingne jamani?Uezi kumpata mwanamke km uyo tena nakwambia,
 

Asa shida yako nn si utulie nae,watu wengine mnauzi sana
 
Kijana naona bado uvulana haujakuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…