Sina mapenzi na mama yangu

Kosa halikuwa la mama ako
Unadhani mama ako alikuwa na uwezo wa kuwalea?
Jitahidi kumpenda mama ako,unamuumiza nafsi yake
 
Pole sana sana sana. Waliopitia haya ndio wanaweza kuelewa. Mimi haya nayapitia lakn nimejifunza kitu kimoja kupitia mawaidha na nasaha za viongozi wa dini. Fanya kila jambo kwa ajili ya mwenyezi Mungu, kwa hiyo pamoja na nafsi kuwa nzito, kutokua na mapenzi naye jitahidi kumtafta kwa kadri uwezavyo, na kwa upande wako afadhali hata huyo mama yako nae anatamani wengine hata hatuelewi historia ilikuaje, hajakulea na bado unajitahidi kumtfta na hayupo tauari kuupokea ukaribu wako.
Mimi namtafta tu sababu Mungu ndio kaamrisha, lkn mapenzi kiukweli hakuna lkn ni kwa ajili Allah kampa daraja kubwa mzazi
 
Mtoa mada nimemshangaa sana
Natamani nijue umri wake,hlf eti ndio mtoto wa kiume wa kwanza,anashindwa hata kujiongeza nini shida
 
Nakukumbusha tu shangazi ako na mama ako ni mtu na wifi yake....
Fatilia zaidi mahusiano ya mawifi utagundua kitu, pole kwa yote.
Mpnz usiombe ukakua kweny mazingira ya hivi, imagine bibi ambae ni mama wa mama yangu anamwambia mwanae tengeneza uhusiano mzuri na mtoto wako lkn bado.
Ni mtihan hasa
 
Mkuu skuelewi kbs aisee ngoja nikunyamazie Tu maanA maana kelele za vuvuzela hazizuii nyavu kutingishika na kama ni mwanamke bs kama umeolewa mumeo ana wakati mgumu sana aisee inaonekana we ni mjuaji Fulani halafu Una mdomo sana na kiherehere
Mtoa mada nimemshangaa sana
Natamani nijue umri wake,hlf eti ndio mtoto wa kiume wa kwanza,anashindwa hata kujiongeza nini shida
Mtoa mada nimemshangaa sana
Natamani nijue umri
 
Mbona kama mchawi wa haya mambo anajulikana, hapa shida ni shangazi utakuta mama hata hakuna baya alilofanya.
 

Hahahaahahaah


Unadhani wanaume wana tabia za kupandikiza machuki kama nyie wanwake.


Mtoto katengwa namama yake ipo wazi kabisa wewe unaleta mambo ya chuki zenu ukidhani wanaume nao wana tabia zenu
 
Mi bnafsi sina tatzo na mama kbs na najua watu wabaya ni mawifi zake na mbaya zaidi Mzee katekwa na Dada zake. Shida mi sina mapenzi na mama Tu Ila si kwamba nini shida Naye maana sjawahi gombana Naye maana sjawahi ishi Naye kbs kbs hatujuani Kwa undani bifu zake na Mzee mpk kuachana Sisi watoto hatujui Kwa undani zaidi Ila mi hicho kisa cha beki tatu nilikiskia Tu kikisemwa na ndugu tena mama alipinduliwa wakati kajifungua Yule mdogo wangu WA mwisho akaenda kwao kupumzka kurudi akakuta mji si wake tena.
Mbona kama mchawi wa haya mambo anajulikana, hapa shida ni shangazi utakuta mama hata hakuna baya alilof
 
Tatizo limeanzia kwa Baba yako,mtu mzima utashawishiwaje umuache mkeo na kuoa beki 3?

Si ajabu huyo Mama yako alipigwa marufuku hata kukanyaga kuja kuwaona nyie watoto wake,
Uchungu wa mwana aujuaye mzazi,Mama yako hana kosa lolote,sema anajua nyie watoto wake mmesha pandikizwa maneno ili mumchukie,

Usifuate akili za Baba yako za kupangiwa maisha na wengine,unamchukia Mama yako kwa maneno ya kusikia au kwa kujiaminisha kua hakua anakuja kuwaona coz hakuwajali?

Tafuta sababu ambayo ilimfanya Mama yako asije kuwaona,huenda hata alisha ongopewa kua nyie mlisha kufa toka kitambo,

Kaongee na Mama yako,anayo mengi sana ya kukusimulia,ana maumivu makubwa sana ndani ya nafsi yake.
 

Pole sana. Una umri gani sasa?

Maumivu huathiri sana fikra, jitahidi wewe umpende sana mama yako. Unaweza kuwa tiba kwake na kubadili mambo yote mabaya anayofanya

Najaribu ku imagine maumivu ya kurudi kwangu halafu nakuta housegal ndio mwenye nyumba na mume, halafu wifi zangu ndio washikadau na wamegawana watoto niliowazaa. Halafu ukute hapo sina hata pa kuanzia...... Wababa muwe na huruma jamani
 
Mkuu skuelewi kbs aisee ngoja nikunyamazie Tu maanA maana kelele za vuvuzela hazizuii nyavu kutingishika na kama ni mwanamke bs kama umeolewa mumeo ana wakati mgumu sana aisee inaonekana we ni mjuaji Fulani halafu Una mdomo sana na kiherehere
Mkuu kwa hii comment ni wazi wewe ni binadamu wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann mnapenda kuweka personal/family issue public??
Unamchoresha tu mama yako
Anamchoresha kwani ametaja jina? Au ww unamjua mleta maada au mama yake? Mtu amekuja kuomba kusaidiwa mawazo jnc ya kutatua tatizo lake ww umekalia unamchoresha mama yako.

Nyie ndo hamkawiagi kujitia kitanzi kisa tu hamuwezi kushirikisha wngn matatizo yenu.
 
....Shangazi ashapandikiza chuki kwenye vichwa vyenu,mnamtunza shangazi na kumsahau Mama yenu...SAD.
Kijana kalishwa sumu kosa la Baba akishirikiana na nduguze mzigo anabebeshwa mama asie na hatia.
 
Pole Sana mtoa mada naelewa unachokipitiaTuna share tatizo Ila Tofauti ni kuwa wewe huna mapenzi na Mama Mimi Sina Mapenzi Na BABA MZAZI,

Nina umri wa miaka zaidi ya 30 now. Jitihada zimeshafanywa na ndugu na marafiki ili kurudisha uhusiano wangu na Baba but ni kama Imeshindikana. Binafsi hiki kitu kinanitesa sana, na kinachonitesa zaidi ni kuona watoto wangu hawamfahamu Babu yao hata kwa sura hata sauti wakati yupo hai hata miaka 60 hajafikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…