Daah, mkuu pole lakini naomba nikupe ushauri huu inategemea na Imani yako lakini, Maandiko yanaweka wazi kuwa wazazi waliokuzaa ni Mungu wa pili kutoka kwa Mungu wa miungu.
Ombi langu moja naona wewe na mdogo wako ndio Kuna kitu mshaaminishwa ama kupandikizwa huko mlipo lelewa so please omba rehema kwa Mungu rudisha mapenzi kwa mama, Mama anabaki kuwa mama tu hata aweje ni mama tu na baraka zako anazo yeye kwa nusu yake kutoka kwa wazazi wote baba na mama.
Najua Kama si mtu wa Imani huwezi nielewa hapa na naomba unisamehe Kama nimekukwaza, fanya hima ya kufanya toba kwa Mungu na kuonana na mama muombe msamaha mpende muonyeshe kuwa ni yeye tu duniani na Wala hakuna mwingine mfano wa mama, ukiona mzazi anaongea kwa uchungu kuwa akifa msiende basi ana maumivu na hiyo itakuwa laana kwenu please fanya hima kujua umuhimu wa Mama haijalishi hajakulea Ila ni mama ambae alikubeba miezi tisa tumboni usiku na mchana alihangaika kwa ajili yako wewe utoke salama.
Wapo ambao mama zao hawajahi kuwatia machoni ama kuwaona wanatamani siku moja wawaone lakini imekuwa kitendawili kwao😢😢😢😢, wapo tuliobahatika kupata malezi kutoka kwa mama zetu lakini walipotutoka tunatamani uwepo wao lakini hatuwezi kuwaona Tena😭😭😭😭😭😭 ndugu yangu usiache mama akafa kabla hamjapatana fanya hima popote ulipo muone mama muombe msamaha na mpende na furahia uwepo
Daah, mkuu pole lakini naomba nikupe ushauri huu inategemea na Imani yako lakini, Maandiko yanaweka wazi kuwa wazazi waliokuzaa ni Mungu wa pili kutoka kwa Mungu wa miungu.
Ombi langu moja naona wewe na mdogo wako ndio Kuna kitu mshaaminishwa ama kupandikizwa huko mlipo lelewa so please omba rehema kwa Mungu rudisha mapenzi kwa mama, Mama anabaki kuwa mama tu hata aweje ni mama tu na baraka zako anazo yeye kwa nusu yake kutoka kwa wazazi wote baba na mama.
Najua Kama si mtu wa Imani huwezi nielewa hapa na naomba unisamehe Kama nimekukwaza, fanya hima ya kufanya toba kwa Mungu na kuonana na mama muombe msamaha mpende muonyeshe kuwa ni yeye tu duniani na Wala hakuna mwingine mfano wa mama, ukiona mzazi anaongea kwa uchungu kuwa akifa msiende basi ana maumivu na hiyo itakuwa laana kwenu please fanya hima kujua umuhimu wa Mama haijalishi hajakulea Ila ni mama ambae alikubeba miezi tisa tumboni usiku na mchana alihangaika kwa ajili yako wewe utoke salama.
Wapo ambao mama zao hawajahi kuwatia machoni ama kuwaona wanatamani siku moja wawaone lakini imekuwa kitendawili kwao😢😢😢😢, wapo tuliobahatika kupata malezi kutoka kwa mama zetu lakini walipotutoka tunatamani uwepo wao lakini hatuwezi kuwaona Tena😭😭😭😭😭😭 ndugu yangu usiache mama akafa kabla hamjapatana fanya hima popote ulipo muone mama muombe msamaha na mpende na furahia uwepo wake d