Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #41
Just ni-pm. Nitakupa ushauri.
From what I understand hauko abused,abandoned,or neglected.that alone says a lot.
This is a relationship worth working on because it's one that can affect other relationships in your life.
na mama yako inavyoonekana she wants to bond with you
sema mtoto mwenyewe ndio uko mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Give her a chance bana.
duh pole aiseeafadhali hata unaweza kukaa nae...
duh pole aisee
hii thread sio nzuri kwangu....
kwangu mimi mama alikuwa zaidi ya mama....kifo tu ndo kimetutenganisha....ila namshukuru mungu namuona ndotoni kila sikuFrom what I understand hauko abused,abandoned,or neglected.that alone says a lot.
This is a relationship worth working on because it's one that can affect other relationships in your life.
na mama yako inavyoonekana she wants to bond with you
sema mtoto mwenyewe ndio uko mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Give her a chance bana.
mi sikumbukisiku ambayo mama yangu aliwai hata kuniita ------- au kunichapa...ilikuwa ni mapenzi yasiyo na kifani.katika mikono yake nilikuwa salama kupita usalama wenyewepole sana aisee..
kwa yaliyoko kati yako na mama yakoumeambiwa naumwa?
hii thread sio nzuri kwangu....
kwa yaliyoko kati yako na mama yako
ondoa hayo mawazo kuwa humpendi mama yako maana nafikiri hayo mawazo ndio yanayokuumiza zaidi na kujikuta huo mzuka unapotea. anza kuhisi kuwa ni mtu wako wa karibu na hakuna kama yeye. kila unapohisi mawazo mabaya juu yake jaribu kuzizuia hizo hisia.
Hongera zako