Sina mzuka na mamito wangu...

Sina mzuka na mamito wangu...

From what I understand hauko abused,abandoned,or neglected.that alone says a lot.
This is a relationship worth working on because it's one that can affect other relationships in your life.

na mama yako inavyoonekana she wants to bond with you
sema mtoto mwenyewe ndio uko mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Give her a chance bana.
 
I wish na ninapenda sana!!!!
yani hata sielewi mi nna shida gani kwakweli ila najitahidi iwe hivo
thanks.
 
Naomba niedeleze hapo kwa Kaunga 1. je mzuka wa kumpenda mama yako ulianza pale baba yako alipofariki au kabla? 2. je ulikuwa unamwonea wivu mama yako kuwa karibu na mdingi wako?
 
Last edited by a moderator:
hii thread sio nzuri kwangu....
 
From what I understand hauko abused,abandoned,or neglected.that alone says a lot.
This is a relationship worth working on because it's one that can affect other relationships in your life.

na mama yako inavyoonekana she wants to bond with you
sema mtoto mwenyewe ndio uko mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Give her a chance bana.
kwangu mimi mama alikuwa zaidi ya mama....kifo tu ndo kimetutenganisha....ila namshukuru mungu namuona ndotoni kila siku
 
ondoa hayo mawazo kuwa humpendi mama yako maana nafikiri hayo mawazo ndio yanayokuumiza zaidi na kujikuta huo mzuka unapotea. anza kuhisi kuwa ni mtu wako wa karibu na hakuna kama yeye. kila unapohisi mawazo mabaya juu yake jaribu kuzizuia hizo hisia.
 
Nashukuru sana Husninyo
 
Naomba niedeleze hapo kwa Kaunga 1. je mzuka wa kumpenda mama yako ulianza pale baba yako alipofariki au kabla? 2. je ulikuwa unamwonea wivu mama yako kuwa karibu na mdingi wako?

Hapana sidhani kama hii ni oedipus complex......
sijawahi kuona wivu!!!!
 
Pole sana shostito.... Ushauri wangu ni mdogo sana, wala hata usihangaike saiv ... "ngoja ukiingia labor ndo utaujua umuhimu wa mama"....

Yale yote ambayo mwanao atakuwa anakufanyia / anakusumbua ndivyo ambavyo wewe ulimsumbua mama yako.. Full stop
 
Back
Top Bottom