Sina mzuka na mamito wangu...

Pole sana shostito.... Ushauri wangu ni mdogo sana, wala hata usihangaike saiv ... "ngoja ukiingia labor ndo utaujua umuhimu wa mama"....

Yale yote ambayo mwanao atakuwa anakufanyia / anakusumbua ndivyo ambavyo wewe ulimsumbua mama yako.. Full stop

Nashukuru,i tabidi nianze process za kunipeleka labor.....
 
kwangu mimi mama alikuwa zaidi ya mama....kifo tu ndo kimetutenganisha....ila namshukuru mungu namuona ndotoni kila siku

pole mpenzi.......,
I can feel the gap......

mie my mama she is my number 1 suppoter kuna vitu nilipitia
maishani hadi nikasema hivi without her ingekuwaje!!!!!!!!!!

Sema ndo hivyo watu tumetofautiana!!!!
 
hakuna wa kufanana na mama aisee....no one..
mi maisha yangu hayako sawa kivile tena best...mfurahie mama yako best mwanzo mwisho...
hakuna bahati kama hiyo
 
Nenda kapange, mnagombana sababu uko naye saa zote
Utamkumbuka tu
 
Sometimes kukaa pamoja sana mnachokana
Akipanga atakumbuka hata ule usumbufu tu

Inategemea na historia yao labda

hivi unaweza kugombana na mama yako uchukie kiukweli toka moyoni....mi silali nacho kabisa
 
Nenda kapange, mnagombana sababu uko naye saa zote
Utamkumbuka tu

Its not a reason!!!!!!
naishi kwangu singida ye yupo mwanza nimekuja home likizo time na naondoka soon...
sijagombana na mama angu na siwezi kugombana nae kamwe....
 
hakuna wa kufanana na mama aisee....no one..
mi maisha yangu hayako sawa kivile tena best...mfurahie mama yako best mwanzo mwisho...
hakuna bahati kama hiyo

Maneno yako yanaiumiza naomba ushauri wako basi...
hata mi sipendi hii feeling thats why nimeomba ushauri what to do!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…