Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #61
hupaswi kompongeza aisee..she deserve pole...
Nampa hongera kwa kumpenda mama ake
hata mi sijapenda iwe hivi ilivo!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hupaswi kompongeza aisee..she deserve pole...
amen kaka...utukufu ni kwa mungu kwa ajili yake....ninacelebrate maisha yake kwa ushindiasante sana Smile..pole sana na wewe!
May her R.I.P...
Pole sana shostito.... Ushauri wangu ni mdogo sana, wala hata usihangaike saiv ... "ngoja ukiingia labor ndo utaujua umuhimu wa mama"....
Yale yote ambayo mwanao atakuwa anakufanyia / anakusumbua ndivyo ambavyo wewe ulimsumbua mama yako.. Full stop
asante na wewe pole dear....Hongera zako
Utakuwa mtoto wa kambo wewe bila shaka
asante na wewe pole dear....
amen kaka...utukufu ni kwa mungu kwa ajili yake....ninacelebrate maisha yake kwa ushindi
Nampa hongera kwa kumpenda mama ake
hata mi sijapenda iwe hivi ilivo!!!!
kwangu mimi mama alikuwa zaidi ya mama....kifo tu ndo kimetutenganisha....ila namshukuru mungu namuona ndotoni kila siku
hakuna wa kufanana na mama aisee....no one..pole mpenzi.......,
I can feel the gap......
mie my mama she is my number 1 suppoter kuna vitu nilipitia
maishani hadi nikasema hivi without her ingekuwaje!!!!!!!!!!
Sema ndo hivyo watu tumetofautiana!!!!
Uwe unasoma vizuri kabla hujacomment
ahsante.
hivi unaweza kugombana na mama yako uchukie kiukweli toka moyoni....mi silali nacho kabisaNenda kapange, mnagombana sababu uko naye saa zote
Utamkumbuka tu
hivi unaweza kugombana na mama yako uchukie kiukweli toka moyoni....mi silali nacho kabisa
hii thread sio nzuri kwangu....
Nimesoma nikajiuliza kwa nini huna mzuka na mamito nikaishia kufanya conclusion ni mama wa kambo
Nenda kapange, mnagombana sababu uko naye saa zote
Utamkumbuka tu
Sometimes kukaa pamoja sana mnachokana
Akipanga atakumbuka hata ule usumbufu tu
Inategemea na historia yao labda
Nenda kapange, mnagombana sababu uko naye saa zote
Utamkumbuka tu
hakuna wa kufanana na mama aisee....no one..
mi maisha yangu hayako sawa kivile tena best...mfurahie mama yako best mwanzo mwisho...
hakuna bahati kama hiyo