Alwatan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 409
- 129
Kulwa12 kwanza nikupe pole.
Halafu nikuambie hilo tatizo lako ni la kawaida, na linatibika kama utakua na dhamira ya kweli na uking'ang'anizi wa kumaliza hilo tatizo kimoja.
Mimi ntakupa tiba ya mababu wa kwetu, ambao kiasili hurithishwa toka kwa babu kwenda kwa mjukuu wa kiume aliyebalehe. Ila kwa vile hapa ni kwa manufaa ya jamii nadiriki kushare na wengine. Kwania ya kusaidia kujenga ndoa na mahusiano yanayoyumbishwa na tatizo la mume kuwahi sana kukojoa.
Tiba hii ina work, kwa vile ninaijua na utaweza kusugua vagina ya mamaa mpaka WEWE MWENYEWE UTAKAPOAMUA sasa kushusha mzigo, yaani kumwaga.
Tiba ina part mbili,
1. Lishe
2. Mazoezi ya uume.
1. Lishe
Kwanza kama alivyosema mchangiaji mmoja, jaribu kutumia asali badala ya sukari ya kawaida kila inapowezekana. Kwa mfano kwenye chai yako n.k, na kama huwezi chai ya asali hakikisha unakunywa vijiko walau viwili vikubwa vya asali, na kukata sukari kwenye chai yako, punguza na unywaji wa soda za sukari(soda tamu).
Halafu hakikisha unakula matunda na mbogamboga(mbichi) kama salad kila siku, wastani wa kisahani kilichojaa kila siku. Na hili la matunda na mbogamboga ni muhimu sana kuzingatia hasa katika kuhakikisha unabaki na stimu ya mchezo(ashki) kwa muda mrefu unapokua na mwenzako sio ukipiga mshindo mmoja tu hamu yote inapotea na unakinai kila kitu.
Kwa kumalizia kwenye lishe, kuna suala muhimu ila wengi wanalipuuza, nalo ni kunywa maji halisia ya kutosha kwa siku. Hakikisha umekunywa maji halisia si chini ya lita 1.5 kwa siku, sio ujumlishe ya kwenye chai, juice, supu. Maji halisia.
2. Mazoezi ya Uume.
Hili ni rahisi na ngumu, ugumu wake unakuja kwenye DHAMIRA ya kulifanya hili zoezi atleast mara moja kwa siku, na urahisi wake ni zoezi lenyewe.
Zoezi hili ni la kujenga msuli wa uume ambao katikati yake mrija wa mkojo na shahawa umepita kwenye msuli huu. Kama ilivyo kwa misuli ya mikono na mingine, ukiufanyisha mazoezi msuli huu utaweza kuamua kuubana na kuuachia kadri upendavyo na hivyo kuruhusu au kutoruhusu kutoka kwa shahawa wakati wa kuchetuana na mwenzio.
Unaupataje msuli huu??? kuupata msuli huu inabidi pale unapoenda kukojoa, jaribu kuukata mkojo katikati kwa maana ya kujizuia mara tu unapoanza kutoka. Kwa kufanya hivi mara kadhaa kutakusaidia kuutambua msuli huu ni upi. Ukishaujua, kazi iliobaki ni rahisi.
wakati wowote ukiwa free, jaribu kuukaza msuli huu kana kwamba unakata mkojo usitoke, ukaze kwa nguvu kadri utavyoweza kwa sekunde 5, then achia, vuta pumzi kidogo, then rudia kuukaza msuli wa uume kwa sekunde nyingine 5, then achia vuta pumzi. Rudia hii cycle mpaka mara 30. Hii ni tuiite ni set moja.
Kwa kuanzia wiki ya kwanza, set moja kwa siku inatosha, baada ya hii misuli kuanza kuzoea, anza kufanya set 2 mpaka tatu kwa siku, au unaweza kufanya zaidi kadri upendavyo. Uzuri wa haya mazoezi si lazima uyavalie bukta au raba maalum, unaweza kuyafanya popote hata ofisini, kwenye daladala, au sehemu yeyote unapokua umekaa unasubiri kitu. Baada ya MIEZI MIWILI tu utaanza kujiona unavyoanza kuwa na CONTROL ya wakati wa kupiga goli. Kumbuka kinachowashinda wengi ni DHAMIRA ya kufanya haya mazoezi rahisi.
Ukiendelea mpaka miezi sita au tuseme ukaifanya ni PART OF YOUR LIFE kuikaza na kuachia hii misuli kila upatapo nafasi basi na matunda ya kusugua vagina mpaka mama apige raundi na raundi za magoli wakati mzee bado hujashusha yatakua ni kawaida.
Kwa vile kufanya mapezi ni kitu physical ukijifanyia na mazoezi ya kujipa pumzi yatasaidia kama jogging, mpira, kulima n.k maana unaweza ukawa umecontrol kushusha mzigo ila hauna pumzi ya kubaki mchezoni ukajikuta umerudi palepale pa kutomridhisha mama.
Kwa leo ni hayo tu. KILA LA HERI.
Nawaomba radhi watakaokwazika na post hii.