Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?

Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?

Kulwa12 kwanza nikupe pole.

Halafu nikuambie hilo tatizo lako ni la kawaida, na linatibika kama utakua na dhamira ya kweli na uking'ang'anizi wa kumaliza hilo tatizo kimoja.

Mimi ntakupa tiba ya mababu wa kwetu, ambao kiasili hurithishwa toka kwa babu kwenda kwa mjukuu wa kiume aliyebalehe. Ila kwa vile hapa ni kwa manufaa ya jamii nadiriki kushare na wengine. Kwania ya kusaidia kujenga ndoa na mahusiano yanayoyumbishwa na tatizo la mume kuwahi sana kukojoa.

Tiba hii ina work, kwa vile ninaijua na utaweza kusugua vagina ya mamaa mpaka WEWE MWENYEWE UTAKAPOAMUA sasa kushusha mzigo, yaani kumwaga.

Tiba ina part mbili,
1. Lishe
2. Mazoezi ya uume.

1. Lishe
Kwanza kama alivyosema mchangiaji mmoja, jaribu kutumia asali badala ya sukari ya kawaida kila inapowezekana. Kwa mfano kwenye chai yako n.k, na kama huwezi chai ya asali hakikisha unakunywa vijiko walau viwili vikubwa vya asali, na kukata sukari kwenye chai yako, punguza na unywaji wa soda za sukari(soda tamu).

Halafu hakikisha unakula matunda na mbogamboga(mbichi) kama salad kila siku, wastani wa kisahani kilichojaa kila siku. Na hili la matunda na mbogamboga ni muhimu sana kuzingatia hasa katika kuhakikisha unabaki na stimu ya mchezo(ashki) kwa muda mrefu unapokua na mwenzako sio ukipiga mshindo mmoja tu hamu yote inapotea na unakinai kila kitu.

Kwa kumalizia kwenye lishe, kuna suala muhimu ila wengi wanalipuuza, nalo ni kunywa maji halisia ya kutosha kwa siku. Hakikisha umekunywa maji halisia si chini ya lita 1.5 kwa siku, sio ujumlishe ya kwenye chai, juice, supu. Maji halisia.

2. Mazoezi ya Uume.
Hili ni rahisi na ngumu, ugumu wake unakuja kwenye DHAMIRA ya kulifanya hili zoezi atleast mara moja kwa siku, na urahisi wake ni zoezi lenyewe.

Zoezi hili ni la kujenga msuli wa uume ambao katikati yake mrija wa mkojo na shahawa umepita kwenye msuli huu. Kama ilivyo kwa misuli ya mikono na mingine, ukiufanyisha mazoezi msuli huu utaweza kuamua kuubana na kuuachia kadri upendavyo na hivyo kuruhusu au kutoruhusu kutoka kwa shahawa wakati wa kuchetuana na mwenzio.

Unaupataje msuli huu??? kuupata msuli huu inabidi pale unapoenda kukojoa, jaribu kuukata mkojo katikati kwa maana ya kujizuia mara tu unapoanza kutoka. Kwa kufanya hivi mara kadhaa kutakusaidia kuutambua msuli huu ni upi. Ukishaujua, kazi iliobaki ni rahisi.

wakati wowote ukiwa free, jaribu kuukaza msuli huu kana kwamba unakata mkojo usitoke, ukaze kwa nguvu kadri utavyoweza kwa sekunde 5, then achia, vuta pumzi kidogo, then rudia kuukaza msuli wa uume kwa sekunde nyingine 5, then achia vuta pumzi. Rudia hii cycle mpaka mara 30. Hii ni tuiite ni set moja.

Kwa kuanzia wiki ya kwanza, set moja kwa siku inatosha, baada ya hii misuli kuanza kuzoea, anza kufanya set 2 mpaka tatu kwa siku, au unaweza kufanya zaidi kadri upendavyo. Uzuri wa haya mazoezi si lazima uyavalie bukta au raba maalum, unaweza kuyafanya popote hata ofisini, kwenye daladala, au sehemu yeyote unapokua umekaa unasubiri kitu. Baada ya MIEZI MIWILI tu utaanza kujiona unavyoanza kuwa na CONTROL ya wakati wa kupiga goli. Kumbuka kinachowashinda wengi ni DHAMIRA ya kufanya haya mazoezi rahisi.

Ukiendelea mpaka miezi sita au tuseme ukaifanya ni PART OF YOUR LIFE kuikaza na kuachia hii misuli kila upatapo nafasi basi na matunda ya kusugua vagina mpaka mama apige raundi na raundi za magoli wakati mzee bado hujashusha yatakua ni kawaida.

Kwa vile kufanya mapezi ni kitu physical ukijifanyia na mazoezi ya kujipa pumzi yatasaidia kama jogging, mpira, kulima n.k maana unaweza ukawa umecontrol kushusha mzigo ila hauna pumzi ya kubaki mchezoni ukajikuta umerudi palepale pa kutomridhisha mama.

Kwa leo ni hayo tu. KILA LA HERI.

Nawaomba radhi watakaokwazika na post hii.
 
Kulwa12 we sema kama unahitaji tatizo lako litatuliwe uwe na nguvu kama inavyotakiwa na ueleze historia nzima ya tatizo, kabla ya kuuliza nani atakupenda.
Usifanye utani, acha kabisa.
 
Kaka kama mambo bado tuwasiliane ili nikupeleke kwa wataalam ili ukatibiwe kwani katika maisha mapenzi na pesa ndiyo inaleta heshima na raha ya maisha. tuwasiliane Pm au +255755113524/783833255 live 24hrs.
 
Pole sana kaka hata mimi nadhani ukipunguza mawazo tatizo litaisha tuu.
pia jatahidi kufanya mazoezi juu ya kumwandaa msichana kama Mungu akikubariki c unajua c wa kina dada 2napenda maujanja zaidi!ha ha ha ha ha!!!!!

Sugar wa Ukweli,samahani naomba kuuliza hiyo avata hapo ni picha yako halisi? hmm natafuta mchumba jamani.i hope SWU uko single!
 
Pole ndugy yangu kama ni kweli una hilo tatizo, ushauri wadau wanaoutoa ni mzuri, ila kwa NYETO si kweli.

1. Kuongezea tu ni fanya mazoezi esp. jogging au aerobic class(inapunguza premature ejaculation)
2. Kula matunda kwa wingi au fresh juice kwa sana na mboga za majani e.g matembele. itaongeza damu and hence strong erection.
 
Pole sana ndugu Kulwa. Wengi tuliosoma Boys tulikuwa na tatizo kama lako. Mimi wakati naaza kua na mademu ilikua akivua tu kabla sijaingia nshamwaga na mtalimbo unalala doro hadi dem anachapa lapa. Nilisononeka sana hadi nikahisi nimerogwa kwani nusu saa tu baada ya dem kuondoka mtalimbo unaamka kwa nguvu za ajabu hadi natamani nimkimbilie. Nilimueleza tatizo hili jomba wangu ambaye aliniambia ni WOGA ndo unanisumbua. Alinishauri nitumie mda mwingi kumwandaa mwenzangu na kunako majamboz kitu kikifika mlangoni nitke kwanza hadi kipoe the nikirudishe ndni. Huwezi amini ndani a miezi sita mambo yamebadilika, sasa hivi nna uwezo wa kupiga goli sita bila buti na goli nne nikiwa na buti kwa usiku mmoja. Kulwa jiamini utaweza tu, anglia X kdg ujiunze maujanja ila usiweaddicted nazo kwani zina athari kisaikolojia.
 
Dawa ni kurudia na kurudia tu, ukiwa unapiga kimoja tu na kullala tatizo halitoisha maisha
 
Kwanza kabla ya kukusaidia elezea mwanaume mwanamke siku hizi hata wanawake wana musterbet..na wanapga punyeto na wanwake siku hizi wanapenda wanawake wenzao kuliko wanaume tusaidie tukusaidie kwa hili jinsia yako tafadhali....so kwa maendelezo nakusubiria kujitambulisha
 
Wanajichua kwa kuwa wakija kuwaapproach mnakuwa na process ndefu mpaka muwape!!!!!!!!!

Sorry

Pole sana. Na hili liwe fundisho kwa wanaume wengine, waache kujichua.

Akili unazo umenena sana, dada pretty unajua sio kama wanapenda kujichua ila inatokea katika mazingira aliyonayo unadhani atajisaidiaje? Swali kama wakitokea kwako ambao wanataka waache kujichua utawasaidia? Sorry for That!
 
1.Nafikiri bado unauwezo wa kucheza mechi
2.Tatizo liko kichwani mwako unajiona huwezi,
3.Kusinyaa kwa abdalla kichwa wazi hiyo ni kawaida sio kila mara awe amekasirika,si mpaka aone..........
4.Mwone daktari akupime ujue kama wewe unachaji au ndio hivyo tena,HAMNA KITU.
5.Kama ilivyo kwa mahanithi wa kiume,wapo pia mahanithi wa kike,hawa,utacheza mechi weeeeee yeye macho makavu?
hajisikii lolote ikiwezekana anaweza chukua gazeti anasoma wakati wewe unaendelea na kubarua kifuani.
6.Ukimpata kama huyo,poa tu,si wote wachovu?tena wao mara nyingi hawawapendi wanaume,vuta subira,wakiku PM CHANGAMKIA
7.Tumia vyakula vyenye protein nyingi,na acha KABISA KALE KA MCHEZO,halafu fanya mazoezi ya jogging....siku mbili kabla ya mechi
na mpenzi wako usiende zoezini.Nina imani mambo yatakuwa safi.Pitia pitia posts zangu ujue namna ya kuchelewa kupiga bao.
9.USISAHAU KUWAELEZA NA WALE WADOGO ZAKO WAACHE KABISA KALE KAMCHEZO..
 
acha KABISA KALE KA MCHEZO,
9.USISAHAU KUWAELEZA NA WALE WADOGO ZAKO WAACHE KABISA KALE KAMCHEZO..
Tall, kamchezo gani haka unamaanisha, sijakuelewa mkuu, weka wazi zaidi
 
Pole ndugy yangu kama ni kweli una hilo tatizo, ushauri wadau wanaoutoa ni mzuri, ila kwa NYETO si kweli.

1. Kuongezea tu ni fanya mazoezi esp. jogging au aerobic class(inapunguza premature ejaculation)
2. Kula matunda kwa wingi au fresh juice kwa sana na mboga za majani e.g matembele. itaongeza damu and hence strong erection.

Nguli, Mkuu umetoa ushauri wa kikubwa kabisa hapa. Thanks kwa hili
Pili bwana Nguli unaweza kumweleza mtoa mada na sisi wengine mazoezi ya aerobic class yanakuwaje? manake wengine tupo kijijini we dont know how this stuff look like

Much respct to you Nguli
 
Ndugu Kulwa:

Ngoja nikupe ushauri. Punyeto haipunguzi uwezo wako wa kiume. Hivyo kupiga kwako punyeto hakuna athari na matukio yako ya kuwahi shughuli.

Vilevile ningependa kuweka sawa kijana. Kufika kileleni mapema sio kutokuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni jogoo kutowika kabisa.

Wewe ni mwanamme kabambe kabisa. Hila una matatizo ya kutoku-control shughuli zako.

Kumbuka kuwa ni ubongo unaotoa signal za wewe kufika kileleni. Hivyo basi wakati wa kitendo, unatakiwa usipoteze akili na u-control movements zako kwa sababu ukishahisi kuwa kitu kinatoka basi huwezi kukirudisha ni lazima kitoke.

Hivyo timing ni kitu muhimu sana. Na vilevile usianze mchezo kama hupo kwenye mashindano ya mita 100. Anza taratibu na huku ukisikiliza vitu vyako bila kupoteza fahamu.

Vilevile usifuate emotions za mpenzi wako bila kujua mapigo yake. Mpenzi wako anaweza kuonyesha kuwa yupo tayari na wewe ukazidisha mapigo kumbe yeye ndio anaanza. Hivyo communication kati yenu ni kitu muhimu.

Vilevile michezo ya mwanzo ya kujitayarisha ni kitu muhimu. Hivyo jifunze mbinu za kujitayarisha. Ukiwa mtayarishaji mzuri dakika yako moja inaweza kuwa ni muhimu katika shughuli zako kuliko kupoteza masaa katika mchezo.

Kwa ujumla tatizo lako ni premature ejaculation. Google na utapata mambo mengi.

Wako Z10

Ee bwan za kumi nilitaka nimjibu uyo bwana mdogo lakini we umenifungia kazi.kwaeri jioni njema
 
Yashanifika hayo mambo, lakini mimi nina jiko langu, ikafika wakati nikaona ahaa majamboz yana shuka!!!,katika pita pita zangu, mjini Dar nikapata wapemba wauza dawa za traditional nikauziwa dawa " MKUYATI" , jamaa wenyewe walijita Madawas Zanzibar, Wallahi hio dawa waeka vijiko vitatu vya chai kwenye kahawa ama chai alafu ngojea nusu saa!!.. ingia kazini... Si wafichi wanajamvi, nilishtukia nimetinga Boli, nkapata toto Dume!!!! na pia hali ikarudi ya kawaida. Haina haja kutafuta madawa ya chemists bana na wataalam wako!

Hebu Jaribu; madawas01@yahoo.com ,Zanzibar species and Herbs
 
Pole sana. Na hili liwe fundisho kwa wanaume wengine, waache kujichua.

Bahati mbaya ndio njia peke ya watu kuukimbia ukimwi. Pretty sasa tufanyeje ikiwa hata wake walioko ktk mkataba wanamegwa kama hawana akili nzuri? Pia sio kweli kuwa manself inasababisha uhanithi bali ni kichwa cha mtu na mtu. Kama suala ni shule za bweni za kiume tu hata miye njia ni hiyo hiyo (Dabanga Camp na Wazumbe) so mchezo huo nimeupitia sana lakini Pretty I tell you utakojoa mara tatu ndio nani nifike kilele cha GILMATH POINT pale Kibo-K'njaro.
 
Back
Top Bottom