Sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu Je, nitafika Botswana?

Sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu Je, nitafika Botswana?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.

Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni shingapi maana hiyo safari mimi kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.

Please mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
 
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.

Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajet ni shingapi maana hiyo safari mm kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.

Plz mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
Du wabongo kweli tupo msituni,umejichimbia mikoani tu huko ingia Dar na kutana na wapemba wasafiri number 1 kwa Tanzanian watakutoa tongotongo.
 
Kupata passport nowadays ni rahisi mno; mikoani ndani ya siku 10 tu tayari unakuayo mkononi, ukiwa Dar is more easy; why ufikirie njia za panya kwenda nchi ya Kiafrica? Nenda Uhamiaji utahudumiwa na hauta amini
Sasa au nifike mpaka mbeya pale halafuu nipate passport ndogo
 
Back
Top Bottom