Sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu Je, nitafika Botswana?

Sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu Je, nitafika Botswana?

Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.

Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajet ni shingapi maana hiyo safari mm kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.

Plz mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
Kuna jamaa alimwambia Idd Amin "This is a good joke......."
Anyway unaweza kwenda ki stow away.....Cheki na washkaji wa MALORI hasa wanao kula NDUM
 
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.

Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni shingapi maana hiyo safari mimi kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.

Please mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
Tafuta passport dogo acha ujuaji kwenye inchi za watu.
 
Kwasasa niko kenya mkuu nairobi
Sasa ulifikaje huko bila passport?? Wasafiri hapo Kenya ni wengi pia, ila uwe muangalifu ile ni nchi sio kama bongo ukiongea Kiswahili tu wewe ni mzawa haijalishi mkongo Mrundi also known as waha. Hata uhamiaji akikushika bongo ni Njurukwa tu. Botswana sio hivo.
 
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.

Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni shingapi maana hiyo safari mimi kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.

Please mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
Unaruka na ungo?
 
Passport ndogo inapatikana ndani ya Siku hiyohiyo. Kwa gharama ya 56,000/=, Na inakuwa na muda hisizidi siku 30. Karibu kufuatilia visa ya kuingia Botswana inakuwaje.. fatilia pia Kujua na mambo mengine ya mipakani. Huku huwezi pata exposure ya kutosha... Tafuta madereva Wa maroli wakongwe au wale Wa IT wanaondega Sana huko watakuwa na Taarifa nzuri zaidi kwako.
 
Karibu Botswana..
20241113_105236.jpg
20241112_181217.jpg
20241113_105236.jpg
20241112_181217.jpg
20241113_130602.jpg
20241113_112357.jpg
20241112_175247.jpg
 
Nyakati zinabadirika. Naweza kukuunga mkono kwamba aende huko visa yake ikiisha ndio aishi kihuni but sio kwenda; why aende kihuni wakati passport inapatikana kirahisi hivo?
Mtanzania anaingia free Botswana. Visa labda zamani sana.
 
Back
Top Bottom