Sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu Je, nitafika Botswana?

Sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu Je, nitafika Botswana?

Brother kama Botswana una mwenyeji huko Nenda fasta.
Na kama unakijielimu kidogo utakuja kulikumbuka jukwaa hili. Ila usizamie, tafuta nyaraka zote halali, wabongo tumelala sana fursa nyingi zipo nje huko, ndio wanachotuzidi Kenyans and Nigerians.
 
Now niko kenya mm Botswana nitaenda nadhani January hapoo
 
Passport ndogo inapatikana ndani ya Siku hiyohiyo. Kwa gharama ya 56,000/=, Na inakuwa na muda hisizidi siku 30. Karibu kufuatilia visa ya kuingia Botswana inakuwaje.. fatilia pia Kujua na mambo mengine ya mipakani. Huku huwezi pata exposure ya kutosha... Tafuta madereva Wa maroli wakongwe au wale Wa IT wanaondega Sana huko watakuwa na Taarifa nzuri zaidi kwako.
 
Back
Top Bottom